Omnilabeltech
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 533
- 845
- Thread starter
- #21
Sio wote
Kuna hela na kupitiwa na hela vitu viwilu tofauti
Sio wote
Ukishakua na akili mojakwamoja huwezi kuValue material things. Usiniambie Mwijaku ana akili kuliko Plato
Mwenye akili anatakiwa awe na kiasi gani cha pesa?
Kwa hiyo Ndugu wale maprofesa wanaoshinda mahospitalini na kutumia muda wa maisha yao yoote kuokoa Uhai wa Watu wenye shida za maladhi na hawana pesa wale kwako hawana akili?
Kikubwa tonge lifike mdomoni
Akili na kupata pesa kwa maisha ya Bongo ni vitu viwili tofauti.
Bongo unahitaji mtu mmoja tu wa kukushika mkono na kukuweka kwenye connection basi na maisha yako yanabadirika siku hiyohiyo.
Kuwa na pesa sio akili ila ni "kuthubutu". Ndio maana wenye akili sana wanashindwa kuthubutu.Mimi naamini mtu mwenye hela ana kitu ambacho mtu asiye na hela bado hajakipata. Unaweza kuwa na elimu kubwa, vyeti, IQ kubwa na kuzungumza mambo ya maana, lakini kama huwezi kutumia akili yako kutatua matatizo na kujenga maisha bora, kuna sehemu unahitaji kujitathmini.
Pesa zinahitaji maamuzi, nidhamu, kutambua fursa, kuvumilia changamoto na kujua namna ya kutumia rasilimali ulizonazo.
Ndiyo maana kwangu, mafanikio ya kifedha ni moja ya viashiria vya uwezo wa mtu kufikiri na kutenda kwa matokeo.
Najua mtasema kuna matajiri waliozaliwa kwenye familia zenye pesa, wengine walirithi, na kuna watu wenye akili kubwa lakini hawana fursa. Nakubali, mazingira yana nafasi yake.
Lakini swali langu ni hili: Kama una akili, lakini kwa miaka mingi huwezi kuitumia kuboresha hali yako ya kifedha, je, hiyo akili inakusaidia nini kwenye maisha halisi?
Tujadiliane bila kuogopana! 🔥
Kila mmoja na uwezo wake wa kifedhaNyingi tu boss
Kila mmoja na uwezo wake wa kifedha
Masikini nikimpa laki moja siku hiyo anaweza akatembea barabarani bila kupisha magari
kila mmoja anajua hilo
Kuna Uzi wa 500m nikauliza ni nyingi hizo?
Wana akiliKuna mashoga wana hela ndefu pia, hapo je vipi?
MKuu kwel mazingira ya bongo unayajuaAkili na kupata pesa kwa maisha ya Bongo ni vitu viwili tofauti.
Bongo unahitaji mtu mmoja tu wa kukushika mkono na kukuweka kwenye connection basi na maisha yako yanabadirika siku hiyohiyo.
Pesa ni nidhamu tuNi sawa lakin mm nimeona watu wanao miliki pesa kweli wanauwezo mkubwa wa kufikiri