Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Mwanamke akichepuka- Hafikishwi kileleni
Mwanaume akichepuka ni tamaa zake.
Mwanamke akiamua kuchepuka anachepuka tu hata umfikishe kileleni mara 5.
Shida kubwa ni kuoa wake za watu. Unataka kuoa, unamkuta mwanamke kumbe wanajamaa wanapendana sana halafu jamaa hana uwelekeo wa kumuoa matokeo yake hata baada ya kuolewa, anaendelea kuchepuka na jamaa.
Hapa umfikishe au usimfikishe hisia zipo kwa jamaa. Kingine ni tamaa za wanawake. Nina ushahidi kwa hili 100%

Itakua maana hapo mwanaume amejiangalia yeye tu.