Itakua maana hapo mwanaume amejiangalia yeye tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Hapo ilipaswa ufurahi kuwa kuna Mwamba anakula kiporo chako.Sahihi kabisa, nishawahi kipiga shoo kali nikiwa na konyagi kichwan, piga shoo usiku kucha! Asubuh kumekucha tumeshinda mwendo wa kula na kupiga shoo saa kumi na mbili demu ananambia siwezi kulala leo hapa utaniua, kaondoka kachoka balaa! Mida ya saa nne usiku nimetoka zangu misele nikapita kwake kumpelekea zawadi flan nafika hayupo! Daah kuja kuchunguza kaenda kukazwa na jamaa flan hivi! Nikachoka!!
Kwani Mfugale alichukulia jiko Machame?Mkuu unajipigia kura.... Ili kuwapata dada zetu, ngoja nikuunganishe na wamachame ukaungane na Mfugale mapema mwakani.
Kwangu hili siyo Tusi hivyo nakupa nafasi nyingine ya Kunitukana tena ili Uridhike zaidi sawa?Pumbavu huna akili.
Bingwa Mstaafu wa Matusi hapa Jamvini unadhani naweza Kutishika au hata tu Kuumizwa na haya Matusi yake Mkuu?Vipi kaka mkubwa,mbona unamuadhibu kiasi hiki?
Tafadhali kama Wewe siyo Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mnyamwezi au Mkara ( ambao Kimsingi ndiyo Watani zangu Mimi Mzanaki GENTAMYCINE ) niombe Radhi upesi sana.Hakuna mkurya anae jua Kukuna zaidi kwanza hata kuandaaa wake zao Huwa hawawezi wao Utaskia Mama bhoke njooo nkutwange.
Jaribu au Kajaribu Kukazwa nao uwajue.Acha kujisifu sifu,umefanya utafiti gani juu ya hilo?.
Wanaume wa kichaga huko kwao, wenyewe wapo bize na mbege anarudi nyumbani yupo chwiii kwanini asigongewe mwanamke wake,ππ, Mfano Rombo wanawake wanalia kila siku waume zao hawawezi shooπ πUpo sahihi kiasi fulani.Ila trust me,usipomkaza mkeo kisawa sawa utagongewa mpaka na matango.
Acha atukane tani yake ila wajanja tushajua wapi utalipiziaa ππππBingwa Mstaafu wa Matusi hapa Jamvini unadhani naweza Kutishika au hata tu Kuumizwa na haya Matusi yake Mkuu?
Na nimemuambia aniongezee mengine kwani hayo hayajanitosha na kwa Uhodari wangu pamoja na Matusi hapo wala bado sijaona Tusi lolote lile.
Hilo sio tusi, bali ni kweli huna sense of humorKwangu hili siyo Tusi hivyo nakupa nafasi nyingine ya Kunitukana tena ili Uridhike zaidi sawa?
Mbona tumefundishwa toka primary kuwa Mkwawa ni shujaa kwa kitendo chake cha kujiua kwa goboreKujiua huwezi kuwa ushujaa labda kama unazungumzia ujasiri. Shujaa anaokoa wengine na sio kujiua tu ili kukwepa matatizo yako binafsi.
Mwanamke malaya hata umkaze na scruu atahangaika tuuUpo sahihi kiasi fulani.Ila trust me,usipomkaza mkeo kisawa sawa utagongewa mpaka na matango.
[emoji3][emoji3][emoji1787]Mkuu unajipigia kura.... Ili kuwapata dada zetu, ngoja nikuunganishe na wamachame ukaungane na Mfugale mapema mwakani.
Tena romantically...sio kwa fujoUlitumia artificial viagra,alienda kutafuta mwenye natural power to Scratch!!
Huyu jamaa nae fala mwanamke unajua mke wa mtu anakuambia njoo nyumbani na wewe unakwenda kama sio uboya ni nini? Hakuna mwanamme mjinga mbele ya mkewe.Halafu mwananchi wamekosea kuielezea hiyo stori, jamaa hakumfuma mkewe akigegedwa bali alifuma sms ndio akaanza kumchatisha mchizi huku mchizi akijua anachati na mke wa jamaa ndio jamaa akaandika text njoo home, mchizi bila kujua akatimba