migomo ya vyuo
Member
- Jun 14, 2011
- 58
- 18
Una Tembocard MasterCard wewe?
ni kweli amepewa sifa zote hizo ni zake, ila akumbuke nidhamu yake iko chini kwani nikikumbuka Igunga aliwahi kumjibu majibu ya kunya Dr Slaa kwamba gari ni la ubunge wake na aliupata kwa jasho lake na kama ubunge ni rahisi hata dr angekuwa mbunge hivyo asione mtu akimfuatafuata kimsingi niliumia sana kwani Dr aliondoka kimya bila kutia neno. je hiyo ndiyo sababu iliyomfanya awe mwanamke mahiri kwanini Sii HALIMA MDEE aliyepambana kiume na tumekomaa nae kule igunga porini mwanzo mwisho hakuwahi kukimbilia mjini kama huyo mtema na kina Heche?

Kakemea wageni waondoke morogoro warudi kwao!!Nimeuliza kafanya nini sijajibiwa, naona watu wanamnadi kahutubia, mzuri, energetic, patriotic, confident etc sifa ambazo ni subjective na hazina distinction.
Nikiuliza standards za distinction naonekana mnoko.
Kakemea wageni waondoke morogoro warudi kwao!!
Hapana kwa maswali yote.Morogoro inatoa passport? Hao wageni watanzania au?
Hapana kwa maswali yote.
maskini mzee slaa kumbe alipewa KAVU... anyways nikirudi kwenye topic swali langu ni kama la kiranga .. "KAFANYA NINI"..?
CDM wabunge wa shoka wanawake hawazidi watano wengine wote walipata ubunge wao kwa vimemo na mashinikizo.
Nawataja, Regia, Halima, Rose Kamili, Lucy Kiwanga na mmoja nimemsahau.
Haya mambo ya "she is beautiful" si ndiyo haya haya CHADEMA mnawabonda kila siku watu waliomchagua Kikwete kwa msingi wa kwamba eti ni "handsome"?. Sasa hiki chama ambacho kinatakiwa kuwa mbadala, kinatuletea habari hizi hizi?
Kama unaona "she is beautiful/ handsome" kanywe naye chai, hilo linahusiana nini na uongozi?
Muanishaji wa hii thread kwa kuweka upupu kama huu katika vitu alivyoangalia kumpa umahiri kashatuonyesha kwamba standards zake ziko chini kweli kweli.
duh! mbona umekuwa mkali hivyo???una nini na dada huyu au ni wivu tu???
mleta mada ametaja sifa nyingi sana na akamalizia kuwa the lady is beautiful.....which is TRUE. tofauti na brother/babako/mshikaji wako/ you name it ambaye alikuwa anaficha udhaifu wake kwenye sura ili wanawake wamchague...unfortunately hata wanaume wakamchagua kwa kigezo hicho if NOT taja strength aliyonayo inayolisaidia taifa kwa sasa..............
Hayupo siriazi
Nawasalute sana suzan kiwanga na Regia mtema.