Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Sasa mbona kwenye thread ile Mkuu hukuja kusema watu wasiponde? Ukamuacha Pindi Chana afananishwe na Chakula cha Kihindi? Au kuna privileges maalum kwa watu maalum? Kama kule hakukuwa na haki ya festive season, lipi linalofanya hapa kuwe na haki hiyo?
Besides, mtu mwengine atakuuliza festive season kwa nani?
Hapa bila ya kujijua umeleta dharau kwake. Kuwa yeye ni dhaifu sana, na kwa kuwa amejaribu kugombea basi apongezwe.
Watu wanajitukana wenyewe na mbunge wao "mahiri".
Hatutaki a case of lowering the bar hapa, eti mbunge kwa sababu mwanamke/kilema tu tayari mahiri hata kama anachosema bungeni ni uzandiki.