Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Kwangu mimi, Regia Mtema ndio mbunge/mwanasiasa mahiri mwanamke mwaka 2011...

Sasa mbona kwenye thread ile Mkuu hukuja kusema watu wasiponde? Ukamuacha Pindi Chana afananishwe na Chakula cha Kihindi? Au kuna privileges maalum kwa watu maalum? Kama kule hakukuwa na haki ya festive season, lipi linalofanya hapa kuwe na haki hiyo?

Besides, mtu mwengine atakuuliza festive season kwa nani?

Hapa bila ya kujijua umeleta dharau kwake. Kuwa yeye ni dhaifu sana, na kwa kuwa amejaribu kugombea basi apongezwe.

Watu wanajitukana wenyewe na mbunge wao "mahiri".

Hatutaki a case of lowering the bar hapa, eti mbunge kwa sababu mwanamke/kilema tu tayari mahiri hata kama anachosema bungeni ni uzandiki.
 
ni kweli amepewa sifa zote hizo ni zake, ila akumbuke nidhamu yake iko chini kwani nikikumbuka Igunga aliwahi kumjibu majibu ya kunya Dr Slaa kwamba gari ni la ubunge wake na aliupata kwa jasho lake na kama ubunge ni rahisi hata dr angekuwa mbunge hivyo asione mtu akimfuatafuata kimsingi niliumia sana kwani Dr aliondoka kimya bila kutia neno. je hiyo ndiyo sababu iliyomfanya awe mwanamke mahiri kwanini Sii HALIMA MDEE aliyepambana kiume na tumekomaa nae kule igunga porini mwanzo mwisho hakuwahi kukimbilia mjini kama huyo mtema na kina Heche?

migomo ya vyuo
Kaka hichi ulichokidhungumza ni kweli huyu dada kamjibu DR majibu ya kunywa hivi? kwa kweli sitaki kuhamini if anaweza kumjibu Dr upupu huu, huyu dada namkubali katika harakati zake lakini kama ni kweli katoa majibu hayo dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama changu basi Regia ni mtovu wa nidhamu, hastahili hata kuwa mbunge kwa tiketi ya Chadema.
Regia wewe ni member humu, njoo uthibitishe hili jambo.
 
Wengine kisirani hiki tulishakiona kitambo hapa, tukaonya, watu wakatuona washashi tu.
 
Kuweka kumbukumbu sawa

Alisema hivi bungeni 'wasio wazawa wa Morogoro waondoke' akirejelea Watanzania wa kawaida.

Siku ya pili, alifuta kauli yake hiyo bungeni na kuomba Hansad irekebishwe

Kwa hiyo hakuwa akizungumzia wageni kutoka nje ya nchi, alikuwa anazungumzia Watanzania wengine msiruhusiwe kumiliki ardhi Morogoro kama hamkuzaliwa huko.
Dah!..... personally simfagilii na sioni umahiri wake.
 
Huyu dada kuna siku aliwatukana wakristo kwa kusema hata yesu alikuwa mdhambi. Licha mimi siyo wa iman hiyo, lakini kitendo hiki cha kucheza na imani za watu kilinifanya nimdharau mpaka leo hii.
 
Kwani wewe ulidhani wageni gani ulipoandika? :A S embarassed:
Waarabu, wahindi.....
CDM wana indigeneous vs. Non indigeneous Tanzanians. Na wana favour indigeneous kwenye uwekezaji
Nalichukia hili wazo.
 
Watu wanajitukana wenyewe na mbunge wao "mahiri".

Hatutaki a case of lowering the bar hapa, eti mbunge kwa sababu mwanamke/kilema tu tayari mahiri hata kama anachosema bungeni ni uzandiki.

Duh mkuu unauwaaa.....
Anyway mimi binafsi kiukweli simkubali kabisaa. Kuna mabandiko yake hapa JF ni kichefufchefu, achiliambali viswali anvyo uliza nkn ukijumlisha na kiburi ya inferior complex basi ni vurugu mechi.
Anauwezo mdogo sana katika kudadafua mambo
 
Tatizo kuna cult of personality linajengwa hapa utafikiri tuko North Korea kwa Kim Il Sung huko.

Some of us don't play that.
 
Waarabu, wahindi.....
CDM wana indigeneous vs. Non indigeneous Tanzanians. Na wana favour indigeneous kwenye uwekezaji
Nalichukia hili wazo.

Nilivyokuuliza "Morogoro inatoa passport? Wageni Watanzania?" Ukasema "Hapana kwa maswali yote."

Hapa naona unabadilisha kutoka "Hapana, wageni si watanzania" unaenda "Wageni si indigeneous Tanzania"

Au na wewe hii ni Freudian slip? Kwamba a non-indigeneous Tanzanian is not a Tanzanian? Ndiyo maana ukaona huu umahiri kwa sababu una admire ubaguzi wake?

Kwanza indigeneous Tanznian ni nani?
 
Huyu dada mi mwenyewe nilikuwa namfagilia ila kuna siku aliongea pumba kwenye kipindi cha wanawake live nilichoka.

Ilikuwa kuhusu mafuriko yaliyotokea kilosa anapowakilisha.
Joyce alimuuliza wewe kama mwanamke na mbunge unamikakati gani ya kuwasaidia wanawake walioathirika ambao bado wako kwenye mahema?

Akajibu siku zote hizo kwa nini wasitafute mashamba wakalime?eti huyu ndio mtetezi wa wanawake.
 
Huyu dada mi mwenyewe nilikuwa namfagilia ila kuna siku aliongea pumba kwenye kipindi cha wanawake live nilichoka.

Ilikuwa kuhusu mafuriko yaliyotokea kilosa anapowakilisha.Joyce alimuuliza wewe kama mwanamke na mbunge unamikakati gani ya kuwasaidia wanawake walioathirika ambao bado wako kwenye mahema?

Akajibu siku zote hizo kwa nini wasitafute mashamba wakalime?eti huyu ndio mtetezi wa wanawake.

Kama CHADEMA wangesikiliza the likes of Kiranga na kuacha kupeana ubunge kwa kujuana na habari za affirmative action kuziweka mbele, wasingepata aibu kama hii.
 
CDM wabunge wa shoka wanawake hawazidi watano wengine wote walipata ubunge wao kwa vimemo na mashinikizo.
Nawataja, Regia, Halima, Rose Kamili, Lucy Kiwanga na mmoja nimemsahau.

mbunge mmoja wa CDM mwanamke ni sawa na uchanganye vilaza 15 wabunge wanawake wa ccm ndo angalau waweze kushindana kihoja.
vivi chadema
 
Huyu dada kuna siku aliwatukana wakristo kwa kusema hata yesu alikuwa mdhambi. Licha mimi siyo wa iman hiyo, lakini kitendo hiki cha kucheza na imani za watu kilinifanya nimdharau mpaka leo hii.

Sasa wewe mchonganishi!
 
mbunge mmoja wa CDM mwanamke ni sawa na uchanganye vilaza 15 wabunge wanawake wa ccm ndo angalau waweze kushindana kihoja.
vivi chadema

Sasa kwa nini unamlinganisha mbunge wa CHADEMA na vilaza wa CCM? Tupe alichofanya zaidi ya standards za hao wabunge vilaza wa CCM. Ama sivyo tutaona wote CHADEMA na CCM wabunge hawa wauza sura tu, na hiyo comparison yako ni ya kiushabiki zaidi kwa kukosa mantiki na specifics.

Mimi naona wabunge wengi wa Tanzania hawana tofauti, kuanzia msomi kama Profesa Mwandosya mpaka huyu Mtema wote wanahubiri ukabila na upuuzi mwingine kama huo. Tofauti wengine wamepata nafasi ya kuondoa ukungu kwa hiyo wakisema upupu wao wanajua kuuvika sophistication (Mwandosya) wakati wengine wanajianika uchi kila wanapofungua mdomo au kushika keyboard (Mtema).
 
Alisema mwenyewe na siku hiyo ilibidi mods waingilie kati kumcover. Huyu dada angekuwa na akili angekuwa anajikalia kimya tu.

Nakubaliana na wewe na nilikuwepo. Nna wasi wasi Mods wameifuta kimoja ile thread, manake hawa kwa kumkingia kifua utasema mboni ya jicho
 
Kuna hatari ya kuifanya CHADEMA CCM-B, kama halijafanyika tayari.

Despite all the hullaballoo about change and all that jazz.
 
Back
Top Bottom