Kwangu Ugali bila mlenda ni chakula ambacho hakijakamilika

Kwangu Ugali bila mlenda ni chakula ambacho hakijakamilika

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika.

Nikiwa nyumbani nimeamua kujipikia lazima nipike mlenda.

Mlenda ni my all time favorite mboga. Naweza kula ugali na mlenda peke yake na nikafurahia kabisa chakula.

Je, wewe mboga yako pendwa ni ipi?
 
Back
Top Bottom