Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika.
Binafsi ni mdau wa Mlenda,ila unategemea na utaalamu wa kuupika,ukipata mtu makini wa kupika ni mzuri sana, Sasa hatari yake aweke na karanga weee ni hatari.