Kwangu Ugali bila mlenda ni chakula ambacho hakijakamilika

Mtelezo unanitisha. Hujatafuna tonge linateleza
 
Ugali Mlenda, samaki wa kukaanga na kachumbari acha kabisaaa
 
maandalizi ya mlenda hayo dadekii hapo sasa upate na nyama ya kukaanga au choma Au samaki kama sato wa kukaangwa/Choma na limao na kapilipili kwa mbali.ugali safi..😋mweeh mweeh!!
I miss Mwanza kwa kweli...!! hayo mazaga nilikua nayapata sana usukumani..Viva wasukuma
 

Attachments

  • FB_IMG_1590122991313.jpg
    32 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…