GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
14,379
Reaction score
19,134
Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi.

Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe.

Bila hivyo tunatwanga maji.
 
Maastoni wamenirukia na Kubeli Mdomoni eenh! Afande usinipeleke ntakupa buku sh tano! Afande usinipeleke ntakupa buku sh dalaa! Afande kagomaa.. Afande Kagoma!
 
Back
Top Bottom