N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Sep 30, 2025 #1 Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,430 Reaction score 21,851 Sep 30, 2025 #2 Maastoni wamenirukia na Kubeli Mdomoni eenh! Afande usinipeleke ntakupa buku sh tano! Afande usinipeleke ntakupa buku sh dalaa! Afande kagomaa.. Afande Kagoma!
Maastoni wamenirukia na Kubeli Mdomoni eenh! Afande usinipeleke ntakupa buku sh tano! Afande usinipeleke ntakupa buku sh dalaa! Afande kagomaa.. Afande Kagoma!