Kwani Azam media mnaundugu na Iran au Israel?

Kwenye Azam TV Kuna channel nying zenye hiyo habar ya Vita.

Au wewe ulitakaje?
 
Imani inaweza ikaua professionalism usipojua wapi pa kuitumia
 
Yani channel zote zimeandika no signal? Au n channel gani hy imeandika hvy
 
Kuna kitu huwa sikuelewi kwenye Azam.Nikikosea Tu kuandika no.za channel nilidhamiria kuandika inakuja Ile ya quran Africa.Sijui ni Mimi Tu.
 
Sijajua Bakhresa ana nini hadi kufanya baadhi ya watu kukosa ule uvumilivu wanaojisifugi nao na kuona wale wenzao ndio huwa hawana huo uvumilivu.
 
Mkuu kila kitu kwa sasa kipo chini ya lucha...
Mcheki jamaa anaitwa lucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…