Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Walimuua ila akaja akafufuka siku ya jumapiliYesu na utakatifu wake wote bado watu walimuua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimuua ila akaja akafufuka siku ya jumapiliYesu na utakatifu wake wote bado watu walimuua
Hakika Yesu aliyashinda mautiWalimuua ila akaja akafufuka siku ya jumapili
Mkuu, hivi hao bodi ya mikopo kwa hapa Dar ofisi zao zipo wapi?Hakika Yesu aliyashinda mauti
Hiyo avatar yako ndio ya yule dada wa movie ya Titanic?Walimuua ila akaja akafufuka siku ya jumapili
Yule dada anaitwa Kate Winslet lakini sio wa katika hiyo avatarHiyo avatar yako ndio ya yule dada wa movie ya Titanic?
Umemfananisha tuHiyo avatar yako ndio ya yule dada wa movie ya Titanic?
Wapo opposite na NSSF posta mkuuMkuu, hivi hao bodi ya mikopo kwa hapa Dar ofisi zao zipo wapi?
Titanic ilizama mwaka 1941. Ipo bahari ya Atlantic mpaka leoYule dada anaitwa Kate Winslet lakini sio wa katika hiyo avatar
Huyu Kate ninasikia alizaa mapacha 3 mwaka 2001Yule dada anaitwa Kate Winslet lakini sio wa katika hiyo avatar
Acha uongo. HESLB wapo opposite na geti number moja la chuo kikuu cha Dar es Salaam.Wapo opposite na NSSF posta mkuu
Unatumia IDs ngapi humu?Umemfananisha tu
Lakini wanafanana kwa mbaaaali kidogoUmemfananisha tu
Ni Pacific ocean na sio AtlanticTitanic ilizama mwaka 1941. Ipo bahari ya Atlantic mpaka leo
Kama haujui kitu si ni bora kukaa kimya mkuu ukaficha ujinga wakoWapo opposite na NSSF posta mkuu
Hapana, hiyo ndio picha yake mkuuUmemfananisha tu
NSSF hawana ofisi posta ya zamani mkuuWapo opposite na NSSF posta mkuu
Ile meli iliua watu karibia laki tatuTitanic ilizama mwaka 1941. Ipo bahari ya Atlantic mpaka leo
Fananisha na wewe basi kama unaona mwenzio anafaidi mkuu. Punguza wivu bhana.Umemfananisha tu
Sote tuseme AmenHakika Yesu aliyashinda mauti
WrongWapo opposite na NSSF posta mkuu