Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
Kwani hao wazungumzaji wanne wataenda kuhubiri injili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
Kwanza huyu mixer mmasai na mu uru hajawahi kuwa mwanachadema! Hyo kadi anayotaka kurudisha labda ya ccm na akiirudisha na udiwan hapo dom kwaheri . Tatizo moja la vijana wa kitanzania kutoka ccm ni unafiki na ulozi! Nani ambaye hamjui tadey humu jf kuwa ni nnzi ya kijan?Kwa hiyo ulitaka wazungumze akina nani, labda akina mbarawa, rostam, she WA mwamza, maulid kitenge na stiv Nyerere
Hahaaaa japo ni kweli hapo wametokota kwani ni mkutano wa viongozi wa wakristo tu.Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
Hata kikiwa cha kidini poa tu. Chama kinaenda na wanaojielewa, hawa washika nnya achana naoHiki chama cha kidini.Mungu anawaumbua.
Na yule Sheikh anaehuzuria anaenda kuhubiri injili?KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
E yupi?Na yule Sheikh anaehuzuria anaenda kuhubiri injili?
Nilikuwa namwambia mtu jana kwamba kuwaingiza sana viongozi wa kidini katika hili jambo ni mistake.KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
hawana ujanja kabisa, kesi yao ya Mbeya mbona hawaiongelei tena?Chadema kwishnei
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
Hongera sana kwa kuligundua chadema ni chama cha KKKtTKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Mbona unachelewaKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?

Sio peke yake mzee uho ni udini na shids ya chadema mba njaa sanaWewe ndo umelitafakari kidini!
Mhimu ni;
Kinakachowapeleka hapo wazungumzaji na jambo linalowakusanya, siyo jambo la kisiasa
Ni jambo la utata na hatima ya nchi yetu
Na si kweli kwamba wazungumzaji hao ni wanachadema wote
Wengine ni mabalozi serikali ya ccm na ambao hata leo wana kadi za ccm
Na isitoshe, Bandari zetu siyo za Chadema wala chama chako ni za Tanganyika
Hivyo, unapaswa hata wewe kuwaunga mkono wananchi hao wenye kada zote nchini
Rekebisha kauli mzeeSasa kama mashekhe hawajielewi utawalazimisha?
Wengine wanasema Chadema ni chama cha wachaga, sasa huyu Mushi gani anakuwa Ccm?KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na siudini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Ahahaha dah kwahiyo hao ndio walio na alili zenu?Kwa hiyo ulitaka wazungumze akina nani, labda akina mbarawa, rostam, she WA mwamza, maulid kitenge na stiv Nyerere