Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
- Thread starter
- #61
Hili lichadema life tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuamsha waliolala utalala wewe, muda utasema MangineliKWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Halafu baadae mnakuja kusema Serikali inaligeuza hili jambo kuwa la kidiniSamia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
HahaaaaaSamia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
CHADEMA ni parokia. Waislam jitoeni haraka.KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Pumbavu kweli, nani kasema hio? Slaa ni CHADEMA?Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Hakuna aliyejichanganya.Nilikuwa namwambia mtu jana kwamba kuwaingiza sana viongozi wa kidini katika hili jambo ni mistake.
Wananchi wengine watapata signal kwamba hili ni suala la upinzani wa kidini. Hususan wakristo wanampinga rais muislamu.
Majuzi Peter Madeleka katika press conference alikuwa ana ji contradict.
Alikuwa anaponda point aliyoambiwa ya kuwaamini viongozi, akasema hili ni suala la sheria, si suala la imani, mambo ya imani tuyaache kanisani.
Alikuwa anasema hivyo huku kakaa pembeni ya Askofu. Askofu aliyekuja kuingelea suala hilihili. Contradiction.
Halafu akaendelea kusema habari za Mungu this, Mungu that. Anafuta point yake ya kulifanya jambo hili liwe la kisheria na secular.
Tunataka mazungumzo secular kwa masuala secular, yani hata kama wewe Askofu, ukija kuzungumzia suala hili, vua makofia yako ya uaskofu.
Mlinda legacy ww ni mkuda 🤣🤣🤣🤣Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
Hongera kwa kutumia fimbohawana ujanja kabisa, kesi yao ya Mbeya mbona hawaiongelei tena?
Nasikia mawakili uchwara walikula fimbo usiku hawajuwi zinapotokea.
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano wa Keshokutwa wa Chadema wazungumzaji wanne kati ya 13 ni viongozi wa dini ya Kikristu.
4. Wengine Tisa waliobakia pia ni wa madhehebu ya Kikristu.
5. Katika Sayansi ya Siasa hapa Chadema Wamenesa bila kujua.
6. Inductive na Deductive appoach zote kwa pamoja zinaruhusu watu wa-Draw conclusion kuwa Chadema na Ukristu ni vitu vibavyokwenda Sambamba.
7. Nilitamani wangerekebisha hili Kosa kwa kuwa Chadema tunaitegemea kama Chama Mbadala wa CCM. Siku CCM ikichoka kuendesha nchi Chadema ichukue Nchi.
8. Nafikiri hawa Maaskofu na Mapadre na Wachungaji ni vizuri zaidi wangekuwa wanatolea misimamo yao kwenye mimbari ya kanisa na sio kwenye majukwaa ya Kisiasa.
9. Cardinali pengo aliwahi kutuasa tusichanganye Siasa na Dini ni hatari.
10. Fanyeni Mpango leo na Kesho mchanganye wazungumzaji ili kuleta umoja wa Kitaifa. Huu ni mkutano wa kisiasa sio mkutano wa maombi.
Ukweli lazima usemwe tu chadema na udini ni pete na kidole. Kuanzia leo narudisha kadi ya chadema naenda CCM!
Unataka vipi suala la mkataba lisihusishwe na dini wakati unaposema hivyo uko pembeni mwa Askofu?Hakuna aliyejichanganya.
Dr. Slaa katoa mwaliko kwa viongozi wote wa dini zote, ambao hawajakwenda ni kwa mapenzi yao, hawezi kuwabeba mgongoni, haki ipo Temeke, waifuate kama wanaiamini na kuitetea.
Pia, Adv. Madeleka hajajichanganya popote, ametaka suala la mkataba wa hovyo wa bandari lisihusishwe na dini simply kwasababu kwenye ule mkataba hakuna kipengele cha dini pale, ni sheria pekee, hivyo lijadiliwe kisheria.
Lakini akamtaja Mungu akijua fika, hao waliosaini ule mkataba wa hovyo unaoliangamzia taifa, wana dini zao, ndio maana akamtaja Mungu, kwamba kama wangekuwa wanamuogopa Mungu wanayemuomba kwa imani zao, wasingetuingiza kwenye mkataba wa hovyo kama ule.
Having said that, kila kiu kipo kwenye mstari, hakuna yeyote aliyekosea popote, kazi ibaki moja tu kesho Temeke.