Askofu anatoaje maoni yake bila kuleta maswali kwamba suala hili ni la udini?
Madeleka kasema hili suala ni la kisheria, habari za imani acheni kanisani, mbona hata sheria nazo hazikubali rushwa? Kwa nini tusikemee rushwa ki secular kwa sheria bila kuhusisha dini?
Huoni kukemea rushwa kidini wakati mmeshasema mambo ya imani acheni kanisani ni contradiction?
Kama mafundisho ya kidini yanakemea rushwa, na wale wana dini zao wamekula rushwa, huoni kwamba mafundisho ya kidini hayasikilizwi, tunatakiwa kujenga legal case na kuwashitaki watu kisheria bila kutegemea dini?