denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Kwanini lilete distraction kwani Askofu hawezi kuwa na facts?!Naam,
Na kwa kuzingatia hili, u Askofu wa mtu ni irrelevant katika suala la sheria kwenye nchi secular.
Zaidi, ni suala litakaloleta distraction za udini.
Kwa nini hili linakuwa gumu kueleweka?
Wewe ndie mwenye tatizo kwenye maono yako, vua hilo koti la udini, kasikilize hoja.
Askofu haendi Temeke kuendesha ibada, amka, bado umelala kifikra.