Kwani CHADEMA huo mkutano ni kongamano la injili? Mnajiharibia

Kwa hiyo ulitaka wazungumze akina nani, labda akina mbarawa, rostam, she WA mwamza, maulid kitenge na stiv Nyerere
Kwanza huyu mixer mmasai na mu uru hajawahi kuwa mwanachadema! Hyo kadi anayotaka kurudisha labda ya ccm na akiirudisha na udiwan hapo dom kwaheri . Tatizo moja la vijana wa kitanzania kutoka ccm ni unafiki na ulozi! Nani ambaye hamjui tadey humu jf kuwa ni nnzi ya kijan?
 
Wakristo wakiamua kumuunga kila kiongozi mkono mkristo hata km anaboronga km waislam wanavyofanya mjue ndio itakuwa mwisho wa TANGANYIKA

Waislam acheni kuweka dini kwenye maslahi ya Taifa kiongozi apimwe kwa uwezo wake sio mnatumia mgongo wa dini kumfichia uhaini
 
Na yule Sheikh anaehuzuria anaenda kuhubiri injili?
 
Nilikuwa namwambia mtu jana kwamba kuwaingiza sana viongozi wa kidini katika hili jambo ni mistake.

Wananchi wengine watapata signal kwamba hili ni suala la upinzani wa kidini. Hususan wakristo wanampinga rais muislamu.

Majuzi Peter Madeleka katika press conference alikuwa ana ji contradict.

Alikuwa anaponda point aliyoambiwa ya kuwaamini viongozi, akasema hili ni suala la sheria, si suala la imani, mambo ya imani tuyaache kanisani.

Alikuwa anasema hivyo huku kakaa pembeni ya Askofu. Askofu aliyekuja kuingelea suala hilihili. Contradiction.

Halafu akaendelea kusema habari za Mungu this, Mungu that. Anafuta point yake ya kulifanya jambo hili liwe la kisheria na secular.

Tunataka mazungumzo secular kwa masuala secular, yani hata kama wewe Askofu, ukija kuzungumzia suala hili, vua makofia yako ya uaskofu.
 


Hili hukuliona au unaleta uzushi tu ?
 
Samia akisikia tu salamaleko, anauliza nisaini wapi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila we jamaaaaa!!
 
Hongera sana kwa kuligundua chadema ni chama cha KKKtT
 
Mbona unachelewa
 
Sio peke yake mzee uho ni udini na shids ya chadema mba njaa sana
 
Wengine wanasema Chadema ni chama cha wachaga, sasa huyu Mushi gani anakuwa Ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…