Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Demokrasia ni kupiga kura kwenye vituo vya kupigia kura kwa uwazi na majumuisho kufanyika kwa uwazi mbele ya mawakala wote bila upendeleo na sio kura kupigwa kwenye mabegi na vikapu alafu zinachomekewa wakati wa majumuisho.
 
Vyama vingine ni mamluki ya ccm
 
Kama sera za mafly over zimeeleweka vyema inakuaje tena vibaka wenu wamekamatwa live na kura kwenye mabegi na vikapu ili kumnusuru mzee pombe??
 
Ruzuku, michango ya wabunge 1.5Mil kila mbunge kwisha. Bora hizo pesa tuletee maendeleo kwa watanzania.
 
Wananchi ni sisi tumeamua hatuwataki akina Mbowe,Zitto et al
Kamwe hiyo tabia yako ya upunguani ni urithi wako wa kudumu.

Kwa vile lengo ni kuwa na bunge la chama kimoja wabunge wa CHADEMA na ACT wa nini tena.

Subirini wananchi wenye mamlaka juu ya mstabali wao wawafikishie ujumbe.
 
Swali zuri kweli; ngoja nisubiri majibu yake.
 
Kutoka kusema: Urais ni mgumu, ningejua nisingegombea, nililazimishwa tu. Natamani ingekuwa hata mwaka mmoja,..

MPAKA

Kupora UCHAGUZI.

Huyu mhutu anaonaga watu wote kama watoto yaani
 
Upinzani sasa unahamia ndani ya chama kimoja.
Ipo siku wataomba marekebisho ta kimfumo wao kwa wao
 
Kuna watu ubongo umejaa kamasi, hakuna mtu anayelalamika kutokuchaguliwa kwa CDM au chama kingine chochote. Magufuli alikua na nafasi kubwa sana ya kushinda hata bila kuiba kura. Tunachopigania ni wizi wa kura waziwazi ambao wanataka tuuache tu bila ku-question. Mimi siwezi laumu Magufuli akishinda kwa asilimia 99 kama kweli watu wamempigia kura ila kukamatwa na mabegi ya kura mtu anayaingiza alafu unataka tukae tunacheka we utakua ni mshenzi wa kutupa, jinga kabisa la mwisho.

Ni kama darasani mpo kwenye mtihani, mwenzako anapewa majibu we hupewi chochote alafu unakaa unasema kwani lazima wote tupewe majibu, unasahau sheria zenyewe za mtihani zinasemaje. Watanzania acheni upumbavu, mkimuacha kwa hili alichofanya, kesho ataanza kufanya kila anachojisikia bila kuwajibishwa, utaenda kwenye mkutano wake ukicheka tu unasikia ua huyo alafu mtakaa tu mnamuangalia, kila mtu inabidi awajibishwe, kila mtu inabidi awe chini ya sheria, hatupo North Korea wala hatupo kwenye karne ya 10 huko enzi wa wafalme. Nenda kasome
 
A biased democracy in their favor only, yenye mtindio wa ubongo.
 
Kamanda chapa kazi
 
Zito bado una muda umri unaruhusu subiri 2025.Mwenza mh kwishne
 
You can lead a horse to water, but you can't make it drink.
 
Hakuna anayesema ilikuwa lazima CDM/ACT washinde, watu na mimi nikiwemo tunasikitishwa na ghiriba zilizofanyika hadhari na tena wazi ambazo zililenga kuipa ccm ushindi na zimefanikiwa.
Kwa maelezo ya NEC kupitia mwanasheria wao ndugu Kawishe,alisema mawakala wa vyama gya siasa hawatohitaji barua za utambulisho vituoni maana tiyari watakuwa washatambulishwa sehemu husika,kwamba wakala aende na kitambulisho chenye kuonyesha picha yake na majina yake,ajabu siku ya kupika kura mawaka wakatakiwa kutoa hizo barua ila waliotolewa ni wa upinzani tu, haliko sawa hili.
Tumesikia matukio ambayo ni ya ovyo kabisa,kuna maeneo mawili na moja wapo lilipotiwa na JF kuwa raia kaingia kituo cha kupigia kura kakimbia na saduku la kupigia kura na lenye kura tiyari, lingine linasema ni polisi aliingia kituoni na kuchukua sanduku la kura akaondoka nalo,husikii Tume,polisi au mamlaka nyingine yoyote ikizungumzia jambo kama hili. Hapo sijazungumzia ghiriba za kura zilizokuwa zinakamatwa zikitaka kuingizwa vituoni ambazo tiyari zilishapigwa kwa chama kile. Haya si ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…