Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Mchange njaa inamsumbua sana huyu jamaa. Hanaga msimamo. Alipoondoka ACT alitangaza hadharani kwamba hataki kujihusisha na siasa, lakini njaa inamtesa.

Hana mbele wala nyuma, analazimika kuwa malaya wa kisiasa.
Ndo umeandika nini sasa?
 
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
 
Ni wapumbavu na wajinga pekee watakaokubaliana na matokeo ya uchaguzi huu,huyo Machage na Mpuuzi mwenzake ni wasaka tonge tu,hii nchi CCM imechokwa ila wanalazimisha tu ,wanaotetea udhalimu uliofanywa na NEC kuipa ushindi CCM ni wale wenye maslahi na hiki chama na si mamilioni ya Watanzania walioteseka chini ya CCM kwa zaidi ya miaka 50.
 
Hakika Demokrasia Sio Wao kushinda tu..... Korona tu imetosha kuwapiga Kifo Cha Mbwa mwizi na koko..achana na Maflaying over, achana na Ubungo interchange, achana na Bwawa la Umeme la Nyerere....nk Ila Ngebe zikewaisha na Makelele Yalikuwa Mengi Sana....... TWENDE NA JPM WETU.
 
Jiji la Dar kabla ya corona kwa siku lilikuwa na misiba ya watu wangapi? Baada ya corona kuingia wakaandaliwa watu maalum kwa ajili ya kufanya maziko kuepusha usambaaji zaidi. Hata jirani yako asubuhi ukaona haamki kumbe Mungu kamchukua tu kiumbe wake tuliambiwa tusiwashike maiti bali tuwapigie simu wahusika na wao walikuwa wanakuja wamevalia mavazi yao rasmi. Sasa sisi tukiwaona watu hao kazini tunajua tu ni corona kumbe siyo.



MAGUFULI4LIFE.
 


Hii ndio demokrasia yenu?
 
 
JPM amefanya makubwa sana ya maendeleo na hilo halina ubishi.Shida kubwa ni kutokujifunza kwa wengine.Hatujawahi kuwa na uchumi kama wa Libya,hatujawahi kuwa na miundo mbinu ya kiuchumi kama Libya,hatujawahi kuwajali wananchi kama Gadafi alivyofanya.Tujiulize "kwa nini Gadafi aliangushwa?Jibu ni moja,kuminya uhuru wa watu na hapa ndipo lilipo kosa la JPM wetu mpenzi.Aruhusu watu wapumue,vyama vya upinzani visiwe vya kuvizia na kupeleleka mahakamani kila kukicha.Asiamini sana katika nguvu bali hoja na ushawishi.Asikubali kuzungungukwa na wanaomsifia tu nala mwisho ajiepushe kupambana na mataifa makubwa kwa kadri iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…