Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

Wenye akili ndio wanajua kuwa Magufuli kashinda kwa kishindo lakini manyumbu ayawezi kuelewa maana yanapelekwa tu
 
Mchange njaa inamsumbua sana huyu jamaa. Hanaga msimamo. Alipoondoka ACT alitangaza hadharani kwamba hataki kujihusisha na siasa, lakini njaa inamtesa.

Hana mbele wala nyuma, analazimika kuwa malaya wa kisiasa.
Na wewe unambele kweli?
 
Tatizo la mchange ni akili...ana akili mingi sana bwege huyu
 
Lockdown na wizi wa kura vina uhusiano gani? Njaa mbaya Sana!!

Kama huyo anayesifiwa kutokuweka lockdown aliwafurahisha watanzania, kwann kaamua kujipigia kura feki??

Angeacha sanduku la kura liamue aone.
Kitu gani hapo hujaelewa?
 
Wananchi tumekataa KUTAPELIWA, watafute kazi zingine za kufanya.
 
Chandimu na mabeberu ndo wanataka hivyo! Wao upinzani ukishinda ndo demokrasia, yaani ya hovyo kabisa haya majitu!
 
Lakini ni Jambo zuri kwa ndugai j aliekaa miaka20 na sio10 apitebila kupingwa abood miaka20 anajipya? Shabiby je miaka mingapi? Zungu je? Aisee tuna safari ndefu
 
Apo mwisho ndo nimejua wewe n mbumbumbu hujui siasa ya usa wala uingereza
 
Asiekubali kushindwa sio mshindani
 
Hahaha nimecheka kwa sauti mwenye uzii huu nakushauri kabla ya kuandika ungekaa chini ukanywa maji kwanza Akili ikatulia.

1-Kama kigezo hao akina Mdee, Zitto kukaa madarakani kwa miaka 10 Ni tatizo mbona Jiwe alikua mbunge kwa miaka 20 hatukusema.

2-Wewe haujui faida ya kambi ya upinzani bungeni hao ndo wanaumiza vichwa vya wabunge kwa hoja zao. Pasipo wao bungeni itakua Ndiyo mzee tu

3-CCM mbinu waliyo tumia Ni kidikteta Bora wangetoa tamko kua wanafta mfumo wa vyama vingi.
4-Jiwe ametumia njia ya vitisho ili CCM ishinde kwa kuwaambia wananchi kua wakimuchanganyia hata leta Maendeleo.

5-Namshukru mweshimiwa kwa kauli yake ya "Maendeleo hayana Chama" lakini akaongezea "Mkinichanganyia sileti Maendeleo"

Nazani umeelewa sasa kula ushibe ukalale

 
Rudia kusoma ulichoandika
Lakini ni Jambo zuri kwa ndugai j aliekaa miaka20 na sio10 apitebila kupingwa abood miaka20 anajipya? Shabiby je miaka mingapi? Zungu je? Aisee tuna safari ndefu
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…