Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Wakuu, habari zenu?
Nianze kuunga mkono kwa Yule ambaye atasema "Bara la Africa limelaniwa" pasipo na shaka Wala dukuduku lolote kutoka moyoni yupo sahihi.
Hii haiwezekani hizi hujuma ambazo wana-Yanga tumefanyiwa kwenye match yetu kati ya MC Alger hazitakiwi na Wala siyo vitendo vinavyotakiwa kwenye soka la mpira wa Miguu.
Pia angalia: News Alert: - FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025
Katka Kipindi Cha kwanza Refa ametunyima penalty ya wazi kabsa, mchezaji wa MC Alger alizuia shuti la Mzize kwa mkono, lakini Refa kameza filimbi, siyo hilo tu wachezaji wengi wa MC Alger walikua wakipoteza mda kitu ambacho Refa alikua akiangalia tu pasipo toa maamzi ya kuonya kwa kadi.
Ushauri wangu kwa Eng. Hersi akate Rufaa CAF, ikiwezekana hii match irudiwe, hizi ni figisu za waziwazi kabsa.
Ndiyo maana soka la Africa haliendelei.