Kwani haiwezekani Yanga tukate Rufaa MC Alger anyang'anywe point kwa kupoteza muda

Kwani haiwezekani Yanga tukate Rufaa MC Alger anyang'anywe point kwa kupoteza muda

Gusa achia tukanywe supu ya jogoo.
IMG-20250118-WA0000.jpg
 
Ila Ile match na TP MAZEMBE sisi uto tuliwahonga waokota mpira wakawatesa sana wakongo ... KASONGOOO!!!!!
 
Makolo ndiyo furaha yenu hiyo
Nyie mlipagawa mkawa mnapiga mahesabu ya robo tena kwa lengo la kuja kuikebehi Simba mkasahau mahesabu yenu ni valid mpaka mshinde mechi yenu ya mwisho.

Yani ni sawa na upige hesabu kununua gari ukaanza kutafuta na madalali kabisa kwa kutegemea hela ya ahdi uliyoahidiwa na mdeni wako
 
Back
Top Bottom