Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaaah hapo wamefanya vizuri japo pia bado tunapima mizani kujua hatima yaoNaona jamaa wameamua kuchukua maamuzi mapema kabla mambo hayajawa mabaya sana
wachezaji wengi ni wazoefu lakin sijui shida ikon wapi hebu tuone huyu kocha ataleta mabadiliko?Nafikiri kwa sisi wana MBARALI ni nafasi nyngne yakugundua tunakosea wap....unajua kwa majina ya wachezaj tulionao hata kama ni MAGARASA lakn wanahitajka kudeliver walau point..ila sio kwa vipgo hivi
Mara nyingi unajua shida inakuja kwa wamiliki kiwa na matatajio makubwa. Ukishapanda ligi wee kuwa mpole jikubalie tuu misimu mitatu utakuwa ni kugombania kubaki kwenye ligi. Usitake makuuyaaah hapo wamefanya vizuri japo pia bado tunapima mizani kujua hatima yao
Na wamesajiri kweli kweli, wadada, never tigere....wachezaji wengi ni wazoefu lakin sijui shida ikon wapi hebu tuone huyu kocha ataleta mabadiliko?
shida inaanziaa hapa wachezaji waliopo ni wazoefu wa ligi kuu, sasa sijui bado hawajasomana au mfumo wa kochaMara nyingi unajua shida inakuja kwa wamiliki kiwa na matatajio makubwa. Ukishapanda ligi wee kuwa mpole jikubalie tuu misimu mitatu utakuwa ni kugombania kubaki kwenye ligi. Usitake makuu
Kujenga timu napo inachukuwa muda alafu huu msimu umekuwa na changamoto kubwa kwamba muda wa mapumziki haukuwepo wakutosha hivyo inabidi ubalance mambo vizurishida inaanziaa hapa wachezaji waliopo ni wazoefu wa ligi kuu, sasa sijui bado hawajasomana au mfumo wa kocha
usajiri sio wa kitotoNa wamesajiri kweli kweli, wadada, never tigere
Wana mihela kwa kweli.usajiri sio wa kitoto
ni kweli lakini jambo kubwa wajitahidi kwenda na ksi kwasababu muda si rafiki hadi round ya nne hawana hata point tatuKujenga timu napo inachukuwa muda alafu huu msimu umekuwa na changamoto kubwa kwamba muda wa mapumziki haukuwepo wakutosha hivyo inabidi ubalance mambo vizuri
kilichobaki wajitahidi, coz muda unaenda wanazidi kuzamaWana mihela kwa kweli.
Anyways sii hapa kuna international break so mwambusi atapata kafanya kazi na wachezaji na labda tutaona mabadiriko.ni kweli lakini jambo kubwa wajitahidi kwenda na ksi kwasababu muda si rafiki hadi round ya nne hawana hata point tatu
hiyo nayo ni point ya kuangaliwa sana, maana ni sawa na kuzima moto kwa mafuta ya taaAnyways sii hapa kuna international break so mwambusi atapata kafanya kazi na wachezaji na labda tutaona mabadiriko.
Ila pia hapa kuna ishu lazima waiangalie. Kumtoa mtu kama head coach na kumuacha hapo hapo kama assistant inaweza leta matatizo.
Muda mwengine ni vyema tuu kama uongozi ukaleta kocha mpya aje na msaidizi wake.
Managerial succession ni kitu very tricky. Usione watu kama wakina mosimane wanafanikiwa. Wanahama kama group. Ana mtaalamu wake wa opposition analyst na kama sijakosea fitness trainer wake.hiyo nayo ni point ya kuangaliwa sana, maana ni sawa na kuzima moto kwa mafuta ya taa