Kwani Jack Pemba anafanya kazi gani?

Kwani Jack Pemba anafanya kazi gani?

Jamaa ni mfanyabiashara, INTERNATIONAL. Ina mambo mengi sana hii wadhifa yake.
Ila anasimamia shughuli zake vzuri. Na akiondoka humuoni. Akirudi ni bata tu. Halafi 50ml kwa ufanyabiashara wa mtu kama jack pemba, si hela kubwa kuitoa mara moja moja, jamaa ana mzunguko hata wa milioni 900 kwa miezi mitatu. Muache ale pesa.
Ana academies za michezo pia timu ya basketball. Na foundations zinampa sana mizgo za UK,
huyu mwamba ni mpambanaji haswa. Akisaka ana saka haswaaaa.
 
Back
Top Bottom