Kwani Jack Pemba anafanya kazi gani?

Jamaa ni mfanyabiashara, INTERNATIONAL. Ina mambo mengi sana hii wadhifa yake.
Ila anasimamia shughuli zake vzuri. Na akiondoka humuoni. Akirudi ni bata tu. Halafi 50ml kwa ufanyabiashara wa mtu kama jack pemba, si hela kubwa kuitoa mara moja moja, jamaa ana mzunguko hata wa milioni 900 kwa miezi mitatu. Muache ale pesa.
Ana academies za michezo pia timu ya basketball. Na foundations zinampa sana mizgo za UK,
huyu mwamba ni mpambanaji haswa. Akisaka ana saka haswaaaa.
 
Yaani watu kama hawa ndio wanatakiwa wajae mitandaoni wawatie hasira vizuri ww ukiwaza anatakatisha fedha kwani hivyo vyombo vya usalama hawajamuona? Au unataka ujikute FBI wa mchongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…