Kwani Jack Pemba anafanya kazi gani?

Vipi alishamjengea Mama yake Mzazi nyumba kule kwao Kanyogo Bukoba?
 
Haya ma papa endapo kama yameanza kurudi ujue vilio vya watu kuibiwa ardhi zao zilizopo katika strategic point vitaanza, sifahamu kama kamishna mpya wa jiji atalimudu hili japo huyu bwana LEO, namuona kama yupo makini kweli kweli na ni mtendaji hasa hakika ardhi dar wamepata jembe lakini hofu yangu ni ataweza kutunza displin aliyonayo kwa muda mrefu?, Jamaa anavigezo vyote vya kuwa hata naibu waziri, lakini je ataweza kuwazuia mapapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…