johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Imeisha hiyoCCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
Nilivyoona mpka dada yetu Lucas Mwashambwa ni kampeni meneja wa Mbowe nikajua kuna tatizo hapaImeisha hiyo
Tatizo ni Freeman Mbowe...CCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
Busara inahitajikaTatizo ni Freeman Mbowe...
Nikimsikiliza na nikimtazama Tundu Lissu na kisha kuhusianisha maneno na matendo yake, naona genuinity ndani ya mtu huyu...
Simwoni kuwa tatizo hata kidogo ndani CHADEMA bali huyu jamaa ni victim tu wa walio chanzo halisi cha matatizo ndani ya chama ambaye ni Freeman Mbowe na genge lake akifanya kolabo na TISS kwa manufaa ya CCM na Samia....!
Ni bahati njema tu kuwa jamaa - Tundu Lissu is neither coward nor weak...
Jamaa yuko very strong na moto utawaka lazima kama Freeman Mbowe ataendelea na ujinga wake huu...
Kwanini wasingekataa kugombanishwa?CCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
Kwanini wasingekataa kugombanishwa?CCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
imagine, unapambania chama hadi ulemavu umekukuta, hata ingekuwa kifo, alafu kuna mtu analamba asali akijua huwezi kumpinga kwa kuwa ati ulimsaidia matibabu. sasa si ulinisaidia matibabu nikiwa napigania chama cha wote, ndio awe mtumwa wa kusaidiwa?Tatizo ni Freeman Mbowe...
Nikimsikiliza na nikimtazama Tundu Lissu na kisha kuhusianisha maneno na matendo yake, naona genuinity ndani ya mtu huyu...
Simwoni kuwa tatizo hata kidogo ndani CHADEMA bali huyu jamaa ni victim tu wa walio chanzo halisi cha matatizo ndani ya chama ambaye ni Freeman Mbowe na genge lake akifanya kolabo na TISS kwa manufaa ya CCM na Samia....!
Ni bahati njema tu kuwa jamaa - Tundu Lissu is neither a coward nor weak...
Jamaa yuko very strong kiufahamu na kiakili na moto utawaka tu lazima kama Freeman Mbowe ataendelea na ujinga wake huu...
CCM kwa rushwa hamjamboKwanini wasingekataa kugombanishwa?
Kwa hiyo Mbowe na Lissu walishindwa kukataa rushwa?CCM kwa rushwa hamjambo
waulize CCM watoa rushwa wenzakoKwa hiyo Mbowe na Lissu walishindwa kukataa rushwa?
Busara gani hasa..?Busara inahitajika
Da kweli watu wamemchoka MboweBusara gani hasa..?
The only busara iliyo wazi kabisa kwa sasa ni:
1. Freeman Mbowe akae pembeni, aachie uongozi wa chama kwa watu wengine...
2. Kama akisema "sanduku la kura liamue", basi asijaribu kuhujumu uchaguzi huu kwa kusaidiwa na TISS ya CCM na mbinu zao chafu Ili mradi tu abaki madarakani...
3. Sambamba na namba 2 hapo juu; uchaguzi ufanyike ktk mazingira ya uwazi, haki na kila mtu aone kila hatua ya haki ikitendeka Ili atakayeshinda ionekane wazi na kila mtu kuwa ameshinda kwa haki.
Hili likifanyika sawasawa, lita minimize damage mara baada ya uchaguzi kupita na itasaidia wanachama na chama kuwa kimoja.
Lakini kwa hali ilivyo sasa, inaonekana wazi kuwa Freeman Mbowe hataki kuachia kiti kwa amani na anaweza kutumia njia zozote haramu kujishindisha ktk uchaguzi huu na CCM wako kwenye mikakati mizito ya kumsaidia kufanikisha hili kwa kutumia fedha maarufu kama "pesa za Abdul" na mifumo ya kiserikali - TISS....
Hili likiwa hivi, ndo nasema patawaka moto. Yale tuliyoyaona yakitokea kwenye vyama vya CUF na NCCR watu kufungiana milango na kugawana ofisi yatatokea CHADEMA pia...
Na ikitokea hivi, I am afraid kusema kuwa CHADEMA inaweza kubaki Machame na pale makao makuu DSM pekee!
Mbowe ana busara hii kweli..?