Pre GE2025 Kwani kabla ya Tundu Lissu Makamu Wenyeviti alikuwa ni nani? Na aliondokaje? Suala la Lissu kupatanishwa na Mbowe Kanisani ni Utata!

Pre GE2025 Kwani kabla ya Tundu Lissu Makamu Wenyeviti alikuwa ni nani? Na aliondokaje? Suala la Lissu kupatanishwa na Mbowe Kanisani ni Utata!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Busara inahitajika
Busara inahitajika ikiwa kuna watu miezi michache wamekufa kwenye uchaguzi wa mitaa wakiamini wanapigania chama wanapigania haki, huku nyuma ya pazia kuna ulaghai? Mbwai iwe mbwai ili sasa hivi atayejitolea uhai wake awe amejua kila kitu
 
tundu lisu ni mpagani, sasa Kanisa linaingiaje hapo tena?
Hujamsikiliza na kumwelewa vizuri..

Anasema, hicho kikao cha mazungumzo ya mapatano haya kilifanyikia ktk majengo ya kanisa pale Msimbazi Center - DSM...

Hoja ya upagani unaitoa wapi wewe...
 
Uchaguzi wa chadema ni moto sana , ila ccm watashangaa sana , mpaka hawaamini jinsi wanavyosogeza kete na kuliwa, kuna kauli moja alitoa kiongozi mmoja wa chadema ,kwamba yapo mambo yanapikwa yakiwivya wataweka wazi
 
imagine, unapambania chama hadi ulemavu umekukuta, hata ingekuwa kifo, alafu kuna mtu analamba asali akijua huwezi kumpinga kwa kuwa ati ulimsaidia matibabu. sasa si ulinisaidia matibabu nikiwa napigania chama cha wote, ndio awe mtumwa wa kusaidiwa?
That's true..

Wewe ni mwelewa sana. Inashangaza kuwa TEAM MBOWE wanatumia hoja hii kutafutia kura..

Sitashangaa wakianza kudai "asichaguliwe kwa kuwa ni mlemavu na mlemavu hawezi kutafutia pesa kukisaidia chama"

Wewe subiri tu, utawasikia. Rushwa ni mbaya sana bro. Ilishawafanya wote wajinga na wapumbavu..!
 
Tatizo ni Freeman Mbowe...

Nikimsikiliza na nikimtazama Tundu Lissu na kisha kuhusianisha maneno na matendo yake, naona genuinity ndani ya mtu huyu...

Simwoni kuwa tatizo hata kidogo ndani ya CHADEMA bali huyu jamaa ni victim tu wa walio chanzo halisi cha matatizo ndani ya chama ambaye ni Freeman Mbowe na genge lake akifanya kolabo na TISS kwa manufaa ya CCM na Samia....!

Ni bahati njema tu kuwa jamaa - Tundu Lissu is neither a coward nor weak...

Jamaa yuko very strong kiufahamu na kiakili na moto utawaka tu lazima kama Freeman Mbowe ataendelea na ujinga wake huu...
Well said.
 
Hujamsikiliza na kumwelewa vizuri..

Anasema, hicho kikao cha mazungumzo ya mapatano haya kilifanyikia ktk majengo ya kanisa pale Msimbazi Center - DSM...

Hoja ya upagani unaitoa wapi wewe...

Oh, my bad …
 
Kumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼

Kiukweli Hali ni Tete Sana

Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani?

Au Mzee Mabere Nyaucho Marando?

Nimekaa pale 🐼
Nimewaza sana kama wakimfanyia vigisu TAL vigisu aka shindwa uchaguzi basi itakuwa mwisho wangu kufuatilia huzi siasa uchwara hasa za CDM
 
imagine, unapambania chama hadi ulemavu umekukuta, hata ingekuwa kifo, alafu kuna mtu analamba asali akijua huwezi kumpinga kwa kuwa ati ulimsaidia matibabu. sasa si ulinisaidia matibabu nikiwa napigania chama cha wote, ndio awe mtumwa wa kusaidiwa?
Na waliokufa je?
 
Kumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼

Kiukweli Hali ni Tete Sana

Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani?

Au Mzee Mabere Nyaucho Marando?

Nimekaa pale 🐼

Tatizo la Watanzania wengi wamezoea unafiki na usirisiri anachofanya Lissu ni kuwajumuisha wananchi kitu ambacho ni kigeni sana kwa Watanzania. Chama ni cha watu sio vigogo wachache na ndiyo maana wananchi wana mwamini sana Lissu
 
mtaongea yoote, ila mbowe must go. miaka yote analalamikiwa, wenzake wanapambania chama hadi wanapata ulemavu. DR SLAA hadi mkono ulipooza, ulemavu ule alipatia chadema kutokana na harakati, wengine hao siwezi kuwataja ila wametoa damu, yeye atuonyeshe hata kovu tu? kwa nini analalamikiwa siku zote kwamba ni ndumila kuwili? halafu, na ninyi kweli mnamwamini mchaga kweney uongozi ambaye akionyeshwa pesa tu mate yanamtoka anawaacha solemba. siongelei ukabila, ila sisi wachaga tunajijua.
 
Aliyepeleka kikao kuwepo Ni mbowe, ndio aliomba viongozi wa dini wampatanishe na lissu, viongozi wakamtafuta lissu. Lissu angekataa huo wito?
wakaitwa wote halafu Muomba kikao akakataa yaliyotokana na kikao- Yeye ni Uenyekiti tu, Hata Urais hataki kwenda kugombana na Samia ndio maana kwa mujibu wa Lissu leo aliyesema kwamba - Mbowe chukua kimoja, Uraisi au Uenyekiti... yeye mbowe anataka vyote au kucheza na wenye A3 badala ya kuchexa na akili za wenye D2. Taabu tupu. Ndio maana Lema anasema kwamba haya mambo mawili yaamuliwe kwa pamoja ili chama kisonge mbele... labda watamskiliza
 
mbowe ni kichomi ,walikaa na hawala wake maridhiano na Abdul LISu aondolewe kwenye umakamu ...kwamba warthog(kasongo) wamjini akiendelea kuwa makamu ni threat
 
wakaitwa wote halafu Muomba kikao akakataa yaliyotokana na kikao- Yeye ni Uenyekiti tu, Hata Urais hataki kwenda kugombana na Samia ndio maana kwa mujibu wa Lissu leo aliyesema kwamba - Mbowe chukua kimoja, Uraisi au Uenyekiti... yeye mbowe anataka vyote au kucheza na wenye A3 badala ya kuchexa na akili za wenye D2. Taabu tupu. Ndio maana Lema anasema kwamba haya mambo mawili yaamuliwe kwa pamoja ili chama kisonge mbele... labda watamskiliza
Mbowe kuna kitu watu hawajui kwa nini anataka sana uenyekiti
 
CCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
Chokochoko zilianza kwa Msingwa akasena naondoka ila mtagawana fito. Mara Lissu akaibua la mama Abdul, hatujakaa sawa wana CCM wakasema ni suala la muda tu CDM watagawana fito, ghafla CCM wanamchangia Lissu ununuzi wa gari, hatujapumzika mara Lissu anautaka wenyekiti hataki tena umakamo na anaanza kuvurumusha maneno ya kashfa kwa Mwemyekiti wake wa chama, kufunua siri za kamati kuu nje nje bila kujali athali zake.

Yaani hata kama unautaka uwenyekiti ndugu si kwa syle hiii - huyu si wa kupewa chama hata kidogo.
 
Back
Top Bottom