King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
hataki Lissu ampandie kichwani akiwa mwenyekiti. Ndio hivyo tu. Raisi lazima awe mwanachama wa chama cha siasa, Mbowe akiwa Rais, lazima mwenyekiti atam- control, jambo ambalo hataki. Lissu yeye kaisha sema kwamba akiwa Rais, huo uenyekiti ata- resign. Kuwapatanisha hawa wawili ni jambo jepesi tu- wawekeane mkataba wa maandishi kupitia kamati kuu wa nani atafanya nini akiwa nani, ndio wataaminiana maana kwa sasa kila mmoja hamwamini mwenzake- Lissu anamtilia shaka Mbowe na Abdul wake na Mbowe anamtilia shaka Lissu kwamba atatia mchanga kwenye kitumbua chake toka huko ccm ya samia, na ukiangalia sana, washabiki wa ccm humu wanamtaka Mbowe zaidi ya Lissu maana hawataki hizi habari za mchaka mchaka, chinja, aliselema, alijia... wazee wa mara wanasema Busara na nia njema haikubariki tena- hebu wasikilize hapa, wao wanataka kuku aruke na mwewe, ndio hayo tu...
wasikilize hapa:
View: https://youtu.be/0d1QUNFfVoA?si=efIheOZL25Qh6kGn
Hii saccos mjue mnachekesha yaani mnawaza urais kabisa bila aibu? Ni pimbi gani wa kumshinda Samia na CCM yake? Jamani tuweni siriaz basi sisi tuchuwaneni kwenye hiki kiti cha saccos yetu bas! Sasa Mambo ya urais yanatoka wapi tena?