Baltazar Engongo
JF-Expert Member
- May 6, 2024
- 604
- 932
Busara inahitajika ikiwa kuna watu miezi michache wamekufa kwenye uchaguzi wa mitaa wakiamini wanapigania chama wanapigania haki, huku nyuma ya pazia kuna ulaghai? Mbwai iwe mbwai ili sasa hivi atayejitolea uhai wake awe amejua kila kituBusara inahitajika
Hujamsikiliza na kumwelewa vizuri..tundu lisu ni mpagani, sasa Kanisa linaingiaje hapo tena?
Aliyepeleka kikao kuwepo Ni mbowe, ndio aliomba viongozi wa dini wampatanishe na lissu, viongozi wakamtafuta lissu. Lissu angekataa huo wito?tundu lisu ni mpagani, sasa Kanisa linaingiaje hapo tena?
That's true..imagine, unapambania chama hadi ulemavu umekukuta, hata ingekuwa kifo, alafu kuna mtu analamba asali akijua huwezi kumpinga kwa kuwa ati ulimsaidia matibabu. sasa si ulinisaidia matibabu nikiwa napigania chama cha wote, ndio awe mtumwa wa kusaidiwa?
Well said.Tatizo ni Freeman Mbowe...
Nikimsikiliza na nikimtazama Tundu Lissu na kisha kuhusianisha maneno na matendo yake, naona genuinity ndani ya mtu huyu...
Simwoni kuwa tatizo hata kidogo ndani ya CHADEMA bali huyu jamaa ni victim tu wa walio chanzo halisi cha matatizo ndani ya chama ambaye ni Freeman Mbowe na genge lake akifanya kolabo na TISS kwa manufaa ya CCM na Samia....!
Ni bahati njema tu kuwa jamaa - Tundu Lissu is neither a coward nor weak...
Jamaa yuko very strong kiufahamu na kiakili na moto utawaka tu lazima kama Freeman Mbowe ataendelea na ujinga wake huu...
Hujamsikiliza na kumwelewa vizuri..
Anasema, hicho kikao cha mazungumzo ya mapatano haya kilifanyikia ktk majengo ya kanisa pale Msimbazi Center - DSM...
Hoja ya upagani unaitoa wapi wewe...
Nimewaza sana kama wakimfanyia vigisu TAL vigisu aka shindwa uchaguzi basi itakuwa mwisho wangu kufuatilia huzi siasa uchwara hasa za CDMKumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼
Kiukweli Hali ni Tete Sana
Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani?
Au Mzee Mabere Nyaucho Marando?
Nimekaa pale 🐼
Mpagani ni kijakazi mamake Ishmael 😂😂tundu lisu ni mpagani, sasa Kanisa linaingiaje hapo tena?
Hatari sanaNilivyoona mpka dada yetu Lucas Mwashambwa ni kampeni meneja wa Mbowe nikajua kuna tatizo hapa
Na waliokufa je?imagine, unapambania chama hadi ulemavu umekukuta, hata ingekuwa kifo, alafu kuna mtu analamba asali akijua huwezi kumpinga kwa kuwa ati ulimsaidia matibabu. sasa si ulinisaidia matibabu nikiwa napigania chama cha wote, ndio awe mtumwa wa kusaidiwa?
Kumbe tumefika hatua ya Viongozi wakuu wa Chadema kwenda kupatanishwa Nje ya Mifumo ya Chama 🐼
Kiukweli Hali ni Tete Sana
Kwani Makamu mwenyekiti kabla ya Lisu alikuwa ni nani?
Au Mzee Mabere Nyaucho Marando?
Nimekaa pale 🐼
wakaitwa wote halafu Muomba kikao akakataa yaliyotokana na kikao- Yeye ni Uenyekiti tu, Hata Urais hataki kwenda kugombana na Samia ndio maana kwa mujibu wa Lissu leo aliyesema kwamba - Mbowe chukua kimoja, Uraisi au Uenyekiti... yeye mbowe anataka vyote au kucheza na wenye A3 badala ya kuchexa na akili za wenye D2. Taabu tupu. Ndio maana Lema anasema kwamba haya mambo mawili yaamuliwe kwa pamoja ili chama kisonge mbele... labda watamskilizaAliyepeleka kikao kuwepo Ni mbowe, ndio aliomba viongozi wa dini wampatanishe na lissu, viongozi wakamtafuta lissu. Lissu angekataa huo wito?
Na mbowe ndo karuhusu CCM wafanye hivyoCCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena
Mbowe kuna kitu watu hawajui kwa nini anataka sana uenyekitiwakaitwa wote halafu Muomba kikao akakataa yaliyotokana na kikao- Yeye ni Uenyekiti tu, Hata Urais hataki kwenda kugombana na Samia ndio maana kwa mujibu wa Lissu leo aliyesema kwamba - Mbowe chukua kimoja, Uraisi au Uenyekiti... yeye mbowe anataka vyote au kucheza na wenye A3 badala ya kuchexa na akili za wenye D2. Taabu tupu. Ndio maana Lema anasema kwamba haya mambo mawili yaamuliwe kwa pamoja ili chama kisonge mbele... labda watamskiliza
Chokochoko zilianza kwa Msingwa akasena naondoka ila mtagawana fito. Mara Lissu akaibua la mama Abdul, hatujakaa sawa wana CCM wakasema ni suala la muda tu CDM watagawana fito, ghafla CCM wanamchangia Lissu ununuzi wa gari, hatujapumzika mara Lissu anautaka wenyekiti hataki tena umakamo na anaanza kuvurumusha maneno ya kashfa kwa Mwemyekiti wake wa chama, kufunua siri za kamati kuu nje nje bila kujali athali zake.CCM wamefanikiwa kuwagombanisha Mbowe na Lisu, hawa ni ngumu sn kufanya kazi pamoja tena