Watoto pia wameongeka which means mahitaji ya walimu ndo mengi zaidiPopulation growth
Rudi ukafanye research yako vizuriWatoto pia wameongeka which means mahitaji ya walimu ndo mengi zaidi
Tanzania wakati wa Kikwete ilikuwa na watu milioni 44, Tanzania ya leo ina watu milioni 60.Watoto pia wameongeka which means mahitaji ya walimu ndo mengi zaidi
Nimeshafanya tayariRudi ukafanye research yako vizuri
Walimu na madaktari wanahitajika sana ku accomodate hiyo number. Tungetegemea ile system ya jk ingeendeleaTanzania wakati wa Kikwete ilikuwa na watu milioni 44, Tanzania ya leo ina watu milioni 60.
Ingekua ni kweli usemacho hata ujenzi wa shule mpya kila pahala ungehitaji kuongezeka kwa kasi hiyo... ila shule almost ni zile zile maeneo mengi.Nimeshafanya tayari
Kumbuka walimu wanakufa na kustaff pia na kuna ongezeko kibwa la wanafunzi kwa hii elimu bure regardless madarasa kuwa fixed kama unavyosemaIngekua ni kweli usemacho hata ujenzi wa shule mpya kila pahala ungehitaji kuongezeka kwa kasi hiyo... ila shule almost ni zile zile maeneo mengi.
Ajira labda kwenye ukoo wenu. JK aliongoza Nchi vibaya hadi 2015 CCM ilikuwa inachungulia kaburi na mwakani tutaona uchaguzi kama wa 2015. Nakushauri tu siku zinavyokwenda ajira zitazidi kupungua, dunia inaelekea kwenye robotics kwahiyo hizi kazi ambazo siyo za kisayansi kwa mtazamo wangu ni literallly servitude zitapotea na labda itabidi serikali iwe inawapa watu pesa kwa kuwa hai.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Labda mbingu ya wendawazimu. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana kuongozwa na yule jamaa.Mtoto wa mjini huwa hashindwi kitu.
Yule ni bingwa wa siasa,fitna na mwanadiplomadia nguli kuwahi kutokea nchini
Ana kiwanja chake mbinguni
Basi kama hivi vitu vilikuwepo bora virudi mana ajira jpm aliharibu sana na ajira au kazi ndo kipimo cha utu.Kwa sababu pesa nyingi ilipatikana kupitia mikataba ya hovyo kama merermeta,IPTL,gesi ya mtwara,pesa za gadafi, mikopo Toka WB ambayo Hadi Leo hatujamaliza kulipa.Enzi zake tigwa alibebwa kwenye ndege ya jeshi la uarabuni pale KIA na watu tulishuhudia mbashara pamoja na kukithiri Kwa biashara ya madaya ya kulevya.
Maendeleo ya watu Vs Maendeleo ya vitu. Huenda ni ngumu saba kubalance vyote.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Haaa hii skill set wengi wanaisahau sanaKikwete alikuwa anajua kula na vipofu