Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Nchi haiongozwi kwa akili hizi za kufugia mbwa.
Hao unaoita wawekezaji hawaji kwa mipango ya lifespan yako. Umeona pale Bagamoyo Wachina enzi za Kikwete walitaka bandari mkataba uwe miaka mingapi? Kwamba watakuwepo mkataba ukiisha?
Halafu sasa hivi mama anajenga bandari ya bagamoyo baada ya jpm kuitelekezq kisa atampa credit kikwete kama mwanzilishi. Lakini samia bila hiana amemaliziq miladi aliyoiacha jpm kwa asilimia 2
 
Halafu sasa hivi mama anajenga bandari ya bagamoyo baada ya jpm kuitelekezq kisa atampa credit kikwete kama mwanzilishi. Lakini samia bila hiana amemaliziq miladi aliyoiacha jpm kwa asilimia 2
Samia hatajenga Bandari ya Bagamoyo uwezo huo hana kazi kubwa kuuza Bandari ya Dar!
DP World wamembana hawezi kuanzisha ujenzi labda DP ndo ajenge!
Achaneni na siasa uchwara DP sio wajinga waje kuwekeza uwajengee bandari shindani karibu nao labda kaka wanajenga wenyewe!
 
Nenda bagamoyo ujionee mwenyewe usipende kubisha kila kitu we sukuma gangus.
 
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.

Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.

Sasa alipokuja yule bwana (JPM) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.

Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Uyu mzee ,kwa ajira tu , alifanya jambo ,ulikua na uwezo wa kupangiwa ajira mkoa flani ukapiga chini na kuomba upya na kupata tena, mwendazake alihalibu sana Taifa hili
 
Nenda bagamoyo ujionee mwenyewe usipende kubisha kila kitu we sukuma gangus.
Wewe hata hujui unabishania nini!
Hakuna ujenzi wa Bayamoyo port unachokiona sio ujenzi na project kubwa kama hiyo nchi nzima ingejua!
Bandari ya Bagamoyo hata gharama yake naona huijui!
Mradi huo hapo mwingine amemshinda unayesema anaweza sana!
IMG-20240809-WA0117.jpg
 
Back
Top Bottom