DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Form six nilikua na one na malengo ilikua kusoma law udsm, nakumbuka nilisoma zangu education kishingo upande kwa sababu ya uhakika wa ajira... Na baadae nikaripoti kazini baada ya kupangiwa mjini vinginevyo ningepiga chini... Kweli mambo yanabadilika sana siku hizi watu wanasoma education wakati hakuna ajira, Mimi ningekua madogo wa siku hizi nisingesoma education hata wanishikie panga....