Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Kwani Kikwete alikuwa anatumia mbinu gani kuiongoza nchi? Ajira zilikuwa kila mahala

Yule JK ilitakiwa arudi tens Ikulu. hata watumishi wa umma aliwatendea haki kwa mujibu wa katiba ya nchi.
 
Vipi Hospital Kila Wilaya??? Hospital za Kanda ??

Umewaza kuhusu SGR, Bwawa la JNHEPP, ? Vipi Flyovers?
Mabarabara ? Umewaza juu ya ongezeko la GDP?. Oyaaa umewaza juu ya Elimu Bure ? , basi hata Uwajibikaji ,kupungua Kwa Rushwa?. Vp Mashule na vyuo alivyojenga JPM? Vipi kuhusu MELI katika maziwa?? Shirika la Ndege letu kufufka na Ndege mpya mpya??.vipi kuhusu Mji mpya wa Dodoma na makao makuu yake?.

Mtoa mada, Umeona Cha maana ni Ajira???.

Mimi nadhan, mtu pekee anayeweza kumoinga JpM, ni MPUMBAVU.
 
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.

Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.

Sasa alipokuja yule bwana (JPM) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.

Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Siyo kwamba ajira hazipo lahasha ajira zipo ila serikali haitaki kuajiri kwa makusudi ili kuwadiscourage Watanzania wasisome kwa wingi ili wajinga wawe wengi na nchi iweze kutawalika kadri jinsi wanavotaka
 
Vipi Hospital Kila Wilaya??? Hospital za Kanda ??

Umewaza kuhusu SGR, Bwawa la JNHEPP, ? Vipi Flyovers?
Mabarabara ? Umewaza juu ya ongezeko la GDP?. Oyaaa umewaza juu ya Elimu Bure ? , basi hata Uwajibikaji ,kupungua Kwa Rushwa?. Vp Mashule na vyuo alivyojenga JPM? Vipi kuhusu MELI katika maziwa?? Shirika la Ndege letu kufufka na Ndege mpya mpya??.vipi kuhusu Mji mpya wa Dodoma na makao makuu yake?.

Mtoa mada, Umeona Cha maana ni Ajira???.

Mimi nadhan, mtu pekee anayeweza kumoinga JpM, ni MPUMBAVU.
Vyote amevijenga mama. Jpm alije ga kwa asilimia 20 tu
 
Kwa sababu pesa nyingi ilipatikana kupitia mikataba ya hovyo kama merermeta,IPTL,gesi ya mtwara,pesa za gadafi, mikopo Toka WB ambayo Hadi Leo hatujamaliza kulipa.Enzi zake tigwa alibebwa kwenye ndege ya jeshi la uarabuni pale KIA na watu tulishuhudia mbashara pamoja na kukithiri Kwa biashara ya madaya ya kulevya.
Magu na Samia wamekopa zaidi miaka Michache kuliko miaka 10 mzima ya Kikwete, so sio kweli eti Alikopa sana.

Kikwete alikua anajua kuvutia wawekezaji angalia Uwekezaji Design ya Dangote na Halotel, Automatic ulibadili sekta ya ajira nchi hii, Anakuja mwekezaji anamwaga Ajira 1000-2000 direct na makumi kwa maelfu indirect. Madereva malori walicheka sana Dangote.

Kikwete aliruhusu uhuru wa vyombo vya habari, Magazeti design ya Rai, Raia mwema etc yalizidi hivyo ikawa rahisi kujua ufisadi hata mdogo, Magu kaingia madarakani cha kwanza kajitoa kwenye ile system ya Kuendesha serikali kwa uwazi, Ofisi kibao hata Cag akawa haruhusiwi kukagua, ndio Maana unasikia tu Trilioni 1.5 haijulikan ilipo ila hakuna anaejua Exactly imetumika vipi.
 
Ajira labda kwenye ukoo wenu. JK aliongoza Nchi vibaya hadi 2015 CCM ilikuwa inachungulia kaburi na mwakani tutaona uchaguzi kama wa 2015. Nakushauri tu siku zinavyokwenda ajira zitazidi kupungua, dunia inaelekea kwenye robotics kwahiyo hizi kazi ambazo siyo za kisayansi kwa mtazamo wangu ni literallly servitude zitapotea na labda itabidi serikali iwe inawapa watu pesa kwa kuwa hai.
We in wa hovyo sana. Hujui ulisemalo.
 
Kwani population iliacha kugrow kipindi cha JK?
Miaka kumi ya JK population iliongezeka kwa watu milioni 10, miaka kumi ya JPM na Samia population imeongezeka kwa watu milioni 16.

Ni vyema watu wakaelewa vizuri sana connection ya ukuaji idadi ya watu na hali ya uchumi na maendeleo katika nchi. Kwa kifupi ni kwamba kama uongezekaji wa idadi ya watu unaongeza uvumbuzi na maboresho ya teknolojia pamoja na uzalishaji basi huo uongezekaji una tija kama huo uongezekaji hauongezi hivyo vitu viwili kwa kasi inayoridhisha basi unakuwa mzigo na hasara kwa taifa.

Pia uongezekaji wa watu ukizidi uwezo wa miondombinu kubeba unakuwa hasara, ili nchi iweze kwende vizuri lazima capacity ya miondombinu iwe kubwa kuliko uhitaji wa idadi ya watu siku zote. Idadi ya watu ikishazidi uwezo wa ubebaji wa miondombinu lazima matatizo yaanze kujitokeza.
 
Saizi hauteseki? Su Samia anagawa hela? Maana madirisha yako wazi mnachota tu!
Watu weusi wengi wao bado sana kujitambua ikiwemo wewe!
Kwani we unatala nini hapa duniani? Umaskini au utajiri! Au unataka uendelee na ile slogan ya kuwanyanyapaa eti nyote ni wanyonge na nyie mkakubali
 
Kwani we unatala nini hapa duniani? Umaskini au utajiri! Au unataka uendelee na ile slogan ya kuwanyanyapaa eti nyote ni wanyonge na nyie mkakuba
Kama unazungumzia Maisha mazuri kwa kusema Samia na serkali yake ndo unaona hauteseki wakati inflation iko juu kuanzia mafuta na bidhaa unadanganya sana wajinga!
Korosho kwa mfano bei yake imeshuka sana tokea Samia aiingie na mfano mwingine ni zao la Pamba wakati wa JPM pamba ilifika 2500 lakini Mwaka huu ulioisha pamba imeizwa kwa elfu moja na hamsini!
Uwekezaji labda unazungumzia vikampuni Uchwara vya wachina na mishahara yao ya laki Tatu ambayo inamfanya Mtanzania kuwa maskini miaka yote!
 
Kalagabao. Unataka kumlinganisha samia na lile jamaa? Hahahahaha
 
Kwa nini unataka mpango wa mudda mrefu wakati umri wa kuishi ni miama 70 tu. Unataka mpango wa muda mrefu wa nini? Utakiwepo?
Nchi haiongozwi kwa akili hizi za kufugia mbwa.
Hao unaoita wawekezaji hawaji kwa mipango ya lifespan yako. Umeona pale Bagamoyo Wachina enzi za Kikwete walitaka bandari mkataba uwe miaka mingapi? Kwamba watakuwepo mkataba ukiisha?
 
Back
Top Bottom