Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa sabubu mfumo unaruhusu hilo, bunge ndilo lilitakiwa liwe na nguvu zaidi hasa katika masuala ya uchumi (kodi, sheria za kodi na matumizi ya serikali)Aliiua kwa kuwathreaten yaani alikuwa unpredicatable hujui leo ataamka na lipi. Ki ufupi nchi haikuwa inaongozwa kwa sheria bali matakwa ya mtu. Wawekezaji wako sensitive sana hii risk