Matemba3814
Member
- Nov 9, 2023
- 87
- 138
🙃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri jpm angeendelea kuajiri angejenga bwawa la nyerere na SGR?,maendeleo yana gharama zakeKipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
BilA Kikwete nisingesoma CHuo kikuu,bila kikwete nisingeajiriwa,Labda mbingu ya wendawazimu. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana kuongozwa na yule jamaa.
Nchi itachukua muda mrefu sana kupona majeraha ya uongozi mbovu wa yule jamaa.
Ajira ndo muhimu kuliko chochote. Si unaona wahamiaji haramu kiutoka sudan kila siku wanakamatwa japo kwao kuna hivyo vi SGR na mabwawa ya umeme? The good choice ni watu kwanza siyo vitu. Jk was extremely very rightUnafikiri jpm angeendelea kuajiri angejenga bwawa la nyerere na SGR?,maendeleo yana gharama zake
Haijawahi kuingia uchumi wa katiAlafu nchi ikaingia uchumi wa kati??
SO what,hao watoto waliozaliwa wanatibiwa na nani,wanafundishwa na nani,population ikiongezeka ina maana vacancy za ajira pia zinaongezekaTanzania wakati wa Kikwete ilikuwa na watu milioni 44, Tanzania ya leo ina watu milioni 60.
Take it positive,yule mbwiga wenu si ndio akisema mfyarue elimu burePopulation growth
Uchumi wa Tanzania unakua kwa kati ya 5% na 7% kwa miaka zaidi ya 20 sasa hiki ni kiwango kidogo sana cha ukuaji wa uchumi kuendana (ku match) na kasi ya ongezeko la idadi ya watu nchini.SO what,hao watoto waliozaliwa wanatibiwa na nani,wanafundishwa na nani,population ikiongezeka ina maana vacancy za ajira pia zinaongezeka
How.Uchumi wa Tanzania unakua kwa kati ya 5% na 7% kwa miaka zaidi ya 20 sasa hiki ni kiwango kidogo sana cha ukuaji wa uchumi kuendana (ku match) na kasi ya ongezeko la idadi ya watu nchini.
Kumbuka watu wanazaliwa na wale walioajiriwa katika zile nafasi Za kazi bado wapo unataka waende wapi,na ukiajiriwa serikani unakuwa na kaz ya kudumu haiwi shift kama kiwandani. taasisi,shule na mashirika na ofisi zote ni chache kulinganisha watu wanaotaka kuajiriwa humo.Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
idadi ya watu kipindi hicho ni sawa na sasa? wasomi walikuwa sawa na sasa?Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.
Kipindi cha JK mpaka wazazi walikuwa wanawahimiza watoto wasomee ama ualimu au udaktari kwani ajira zipo za uhakika.
Sasa alipokuja yule bwana (jpm) akaharibu utaratibu ule wa kuajiri watu wote wa kada hizo akaanza kudokoa dokoa mara mwaka huu tunaajiri elf 100 au elfu 200 maana uchumi ni mbovu.
Kwa kweli tulipmaliza kipindi hiko tunakukumbuka sana JK acha hawa waliomaliza miaka ya 2000 wasikuchukulie poa maana hawakujui.
Sasa walimu wanaokufa na kustafu ndio mapengo yao hayo yanazibwa na hao wanaoajiriwa... mwaka huu nafasi za walimu hazikufika hata elfu 15 ukiangalia idadi hii inawezekana hata UDSM pamoja na kampasi zake wako zaidi ya hiyo idadi.Kumbuka walimu wanakufa na kustaff pia na kuna ongezeko kibwa la wanafunzi kwa hii elimu bure regardless madarasa kuwa fixed kama unavyosema
Samia alienda Geita mwaka jana akawaambia wabalance kuzaa ,huku mwendazake akisema wafyatue tu,mwendazake aliharibu uchumiUchumi wa Tanzania unakua kwa kati ya 5% na 7% kwa miaka zaidi ya 20 sasa hiki ni kiwango kidogo sana cha ukuaji wa uchumi kuendana (ku match) na kasi ya ongezeko la idadi ya watu nchini.
Sasa hapo ndo jpm aliharibu mana private sector aliua. Thanks to samia anaifufuaSasa walimu wanaokufa na kustafu ndio mapengo yao hayo yanazibwa na hao wanaoajiriwa... mwaka huu nafasi za walimu hazikufika hata elfu 15 ukiangalia idadi hii inawezekana hata UDSM pamoja na kampasi zake wako zaidi ya hiyo idadi.
Inshort wasomi ni wengi sasa hivi ukilinganisha na miaka ya nyuma kwahiyo serikali peke yake hawawezi kuwahudumia wote ila chakufanya ni kushirikiana na private sectors na kuhimiza kwa vitendo katika uwekezaji kwa maana iwape sapoti na kuwahakikishia usalama wa kifedha watu wenye nia ya kuwekeza kwenye nyanja mbalimbali.
Imagine kampuni kama NALA wote tunajinasibu kama ni kampuni ya kitanzania kwakua ni ya kijana wa kitanzania ila usajiri wa kampuni yenyewe umefanyika Kenya, kwahiyo inaonesha hapa katikati kuna urasimu mwingi sana unaendelea ambao unafanya wawekezaji wengi wakimbie.
Hiyo miradi mikubwa ya SGR na Bwawa la Mwalimu Nyerere ni trilions ngapi? JK hakuwa na mradi wa trilionsKipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya choice tu.