Chaka la wakubwa
Member
- Aug 15, 2024
- 17
- 14
Nimekua na mahusiano miaka mitatu na nilie nae hajawai niomba hata mia na hataki lakini yeye za kwake anataka kuwa ananipa .eti wana jf hapo mnanambiaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napewa bila kuomba...we huombi pesa?
#ponda mali kufa kwaja
Jibu limetulia sana 💯Napewa bila kuomba...
Then Nina za kwangu pia..
Namna hiyoJibu limetulia sana 💯