Kwani kuna kosa Bodaboda kuitwa Maafisa Usafirishaji au kosa tafsiri?

Kwani kuna kosa Bodaboda kuitwa Maafisa Usafirishaji au kosa tafsiri?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habar wanajf,

Nashangaa watu wanalama mitandaoni eti boda hawapaswi kuitwa maafisa tuache kudharau kazi za watu zimeajiri mamilioni ya vijana.
 
Habar wanajf. Nashangaa watu wanalama mitandaoni eti boda hawapaswi kuitwa maafisa tuache kudharau kazi za watu zimeajiri mamilioni ya vijana.
Baada ya Lema kuongea uhalisia ndio jina likabadilika shida ilianzia hapo
 
Habar wanajf,

Nashangaa watu wanalama mitandaoni eti boda hawapaswi kuitwa maafisa tuache kudharau kazi za watu zimeajiri mamilioni ya vijana.
Kwani kuna kosa kila mtu kuitwa mheshimiwa hapa duniani?
 
Unajua maana ya Afisa? Unaweza kuwa Afisa bila kusomea fani husika? Boda na aliyewaitaa wote wapuuzi
 
Back
Top Bottom