Kwani kuna Miss Chit-Chat pekee? Naonelea kuwe na Mr. Chit-Chat pia.

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Posts
363
Reaction score
73
Behind every Miss there should be a Mr. Mabudaa mjipigie debe hapa kuwa Mr. Chit-Chat.
 
Vigezo gani atakuwa mr chit chat may be tukafanye practical kabisa na ladies wa CC ili huyo Mr CC awe na 100% performance pia kitandani isiwe tuu ni garasa la nje kumbe ndani hakuna kitu
 
ishu sasa Miss awe mke wa mtu tuone Mr Rocky utaishia wapi
 
Last edited by a moderator:
Vigezo gani atakuwa mr chit chat may be tukafanye practical kabisa na ladies wa CC ili huyo Mr CC awe na 100% performance pia kitandani isiwe tuu ni garasa la nje kumbe ndani hakuna kitu
Hahahahaaaa Mr Rocky unataka kuongeza watoto wakati wa Meatu umewatelekeza?
 
Last edited by a moderator:
Vigezo gani atakuwa mr chit chat may be tukafanye practical kabisa na ladies wa CC ili huyo Mr CC awe na 100% performance pia kitandani isiwe tuu ni garasa la nje kumbe ndani hakuna kitu

Nooo awe mwaname tu...coz miss chitchat kule kigezo awe mwanamke tu nakariri maneno ya Arushaone muundaaji wa miss chitchat
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha.. hii kali maana vigezo sijui vitakuwa vipi lol.. masculline.. hairy chest.. 12 by 9 inches.. money bags.. handsom.. swt talker.. au..?
 
Tutaanza na hizo umezitaja. Zingine tutaongezea kukishika kasi.
 
Back
Top Bottom