Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA

rfghjk.jpg


Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu lakini huyu Ninja ana staili nyingi mno kupiga dede huku anafanya makarateka, kuruka Maburungu Juu Changanya kukwaruza kipepsi na Mastaili kibao

Kaanza kuchezea pikipiki tangu akiwa mdogo hivyo hajajifunzia ukubwani,

Honest mentions wengine wanaokichafua kuna kuna kina kelvin,fbi, maulidi smith, ommy yahaya, dogoo madede, twaha, n.k.


 
 
kuendeshea ubavuni, ni style ya makomandoo waliotukuka wakiwa wanajaribu kukwepa risasi




 
Kunyanyua tairi huku akidance

 
Tairi burnout

 
DRIFT






 
Dede hands free

 
Dede hili mpaka mkia unagusa chini, ni cheche !

 
dede la mguu moja

 
Tucheze siingeli

 
dede la kunesa nesa




 
simamia mashine

 
wababe wa hizo mambo wa nchi zilizoendelea huwa wanajitambua wanavaa kofia ngumu na jacket za kulinda mwili.
 
Back
Top Bottom