Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Tatizo hii mada inajadiliwa na watoto (vijana wanaomiliki the so called mademu), mkeo hawezi pewa ofa na mwanaume mbele yako afu ukae kwa kutulia tu.Sio kisa cha kitoto bro. Mwanaume uliyekamilika huwezi ruhusu dume mwenzako atoe huduma/ofa kwa wife halafu ww ukiwepo, hata kama ni favor. So yuko sahihi huyo jamaa.
Hapo ni mwanaume ndiye atakaeelewa nilichoandika, mvulana utaona mapicha picha tu ambayo haya-make sense. Ila ukikua utaelewa.
Sent from simu ya kuunga unga