Tatizo hii mada inajadiliwa na watoto (vijana wanaomiliki the so called mademu), mkeo hawezi pewa ofa na mwanaume mbele yako afu ukae kwa kutulia tu.Sio kisa cha kitoto bro. Mwanaume uliyekamilika huwezi ruhusu dume mwenzako atoe huduma/ofa kwa wife halafu ww ukiwepo, hata kama ni favor. So yuko sahihi huyo jamaa.
Hapo ni mwanaume ndiye atakaeelewa nilichoandika, mvulana utaona mapicha picha tu ambayo haya-make sense. Ila ukikua utaelewa.
Sent from simu ya kuunga unga
Acha kutetea kitu unachokijua.Ahaa! Ok.
Lkn mm nilidhani ingekifaa kama kila mtu ajichunge mwenyewe badala ya mwanamke kutazamwa kama mtoto mdogo.
Mpk kaolewa maana yake ni mtu mzima anaelewa baya na zuri.
Asipozingatia manano haya....awe tayari kuleta mrejesho.Dini zimetufunza kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu hata akiwa na miaka 60 bado ni dhaifu. Hivyo ni mwepesi sana kurubunika hata kwa Pipi kijiti tu inatosha sembuse Bia.
Sasa wewe unapambania upewe ofa ya Bia ili uje usingizie Shetani alikupitia kumbe ni wewe mwenyewe umejirahishishia kazi ya kuja kuliwa kimasihara.
Binadamu hachungwi. Naona kama mnapoteza muda tu.Acha kutetea kitu unachokijua.
Ofa ya kilevi maana yake ni nini? Kilevi kinajulikana kuwa hulevya. Ukilewa unajibehave vipi? Unajua, safari moja huanzisha nyingine.
Kwanza kwa nini mke wa mtu ukae kunyemelea ofa za kilevi toka kwa mwanamme!?
Kama si mtoto mdogo, basi inabidi utambue kuwa ofa za pombe tu kwa mwanamke lazima ujiulize hatma ya mtoaji itakuwa nini. Mara nyingi huwa ni mtego.
Mnawapotosha watu. Ukiona hivi ujue ni single.Maisha yenyewe yako wapi hapa ya kukataa ofa na outings????
Kwahiyo nikikutana na mwanaume anayenifahamu. Hatujaonana siku nyingi anataka kunitwanga bia moja. Je, nimkimbie???Wanakupea wapi? Kama unaacha watoto home na binti wa kaz ili kwenda kuhongwa bia Moja bas ni halali watoto wanapokua na kutupiga maana hawatutambui kama wazazi
Hakika. Umenena vema....wanaopenda bure na ofa mara nyingi wanalika kirahisi kwa tamaa zao. Ukiwajua wakimbie sio waaminifu na kauli yao kuu no kuwa wao sio watoto au watumwa
We naniiih, usijaribu utapigwa mpaka uchakaeKwani nani kasema kuolewa ni utumwa? Yaani hata nikikutana na mwanaume niliyecheza ama kusoma naye nimkimbie? Hata ofa ya kinywaji niikatae??
View attachment 2271812
Hujui maana ya ndoa au mume ndiyo maana. Siku ukiolewa utafundwa kama wapo wafundaji wenyewe siku hizi.Binadamu hachungwi. Naona kama mnapoteza muda tu.
Ndiyo maana nauliza ndoa inauwa hiari ya moyo na utashi wa mwanamke kufanya Jambo analolipenda?Hujui maana ya ndoa au mume ndiyo maana. Siku ukiolewa utafundwa kama wapo wafundaji wenyewe siku hizi.
Tena huyo unayemfahamu ni rahisi sana kuomba kwa masihara na mkampa kimasihara.Kwahiyo nikikutana na mwanaume anayenifahamu. Hatujaonana siku nyingi anataka kunitwanga bia moja. Je, nimkimbie???
Basi ndoa haina tofauti na utumwa kwa mwanamkeTena huyo unayemfahamu ni rahisi sana kuomba kwa masihara na mkampa kimasihara.
Kama unaheshima, hekima na utashi basi kimbia kabisa hiyo ofa.
Naamini umesoma/unasoma comments za watu humu. Kila mmoja anaasa juu ya kutopokea ofa za pombe toka kwa mwanamme asiye mumeo.Ndiyo maana nauliza ndoa inauwa hiari ya moyo na utashi wa mwanamke kufanya Jambo analolipenda?
Kama ndivyo basi ndoa ni utumwa. Sasa utanishawishi vipi mm kuingia utumwani (kwenye ndoa)?
Kwa kizazi hiki utaona ni utumwa.Basi ndoa haina tofauti na utumwa kwa mwanamke
Kwanini mnamchukulia mwanamke Kama kiumbe asiye na akili? Kwani yeye hawezi ku-calculate uwezo wake wa kubwia pombe? Ni lazima anapokunywa alewe?Pombe ukishalewa ni rahisi kurubuniwa ukaachia mzigo kimasihara. Zingatia.