Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha uoga mtoto wa kiumeNaweza kaukia geto kwa njaa
Naona wazazi wanakunyanyasa. Njoo mwaya na begi lako la nguoNije ili iweje ??
Mzazi asikubanie ni haki yako kukaa nyumbani kwenu kama vipi kamshtaki, au utakuwa unasarandia beki tatu ndio maana wamekuchoka?Kiukweli ukishangaa ya Firauni utayaona ya wazazi wa Ki-Tanzania.
Mimi bado kijana (kwa ninavyojiona), japo udevu ushaniota ni mtu fulani hivi ambaye kiukweli maisha ya kuzungusha bahasha naona ni uduwanzi na nimeamua kukaa nyumbani mpaka muda huu. Nina miaka 27 na mara chache chache navusha demu zangu kwenye geto la nje nililopewa.
Kilinichonishangaza ni kwamba wazazi wanataka niondoke nikajitegemee. Sasa nijitegemee kivipi wakati sina hela? Na nitatokaje wakati sina cha kujilisha huko nje.
Kwasasa nina trade forex nasubiri mambo yakae sawa nipate nauli nikimbilie kwa sisteri ambaye yuko huko Dar Es Salaam ili na mimi nikainjoi mechi kwenye kiwanja cha Mkapa (kuoshaosha macho).
Hivi kweli mzazi unamfukuza mwanao nyumbani je unataka akafie huko huko kwa njaa? Kiukweli nimeumia na nimejua hizi ni siku za mwisho upendo wa wengi umepoa.
Mimi ni mhitimu wa kozi ya Uhasibu. Nasubiri kazi ya Serikali nikunje hata 1M, kuhusu CPA nitasoma nikitulia. Kwasasa nina mawazo nashindwa hata kula.
Sijui walivofikiria wao. Sijui walidhani nina pesa😂😁Kwahiyo wanaamini (wazazi) dreads ndio kukua? demiti!!
Usiondoke kabisa, mpaka mambo yako yanyooke.Kiukweli ukishangaa ya Firauni utayaona ya wazazi wa Ki-Tanzania.
Mimi bado kijana (kwa ninavyojiona), japo udevu ushaniota ni mtu fulani hivi ambaye kiukweli maisha ya kuzungusha bahasha naona ni uduwanzi na nimeamua kukaa nyumbani mpaka muda huu. Nina miaka 27 na mara chache chache navusha demu zangu kwenye geto la nje nililopewa.
Kilinichonishangaza ni kwamba wazazi wanataka niondoke nikajitegemee. Sasa nijitegemee kivipi wakati sina hela? Na nitatokaje wakati sina cha kujilisha huko nje.
Kwasasa nina trade forex nasubiri mambo yakae sawa nipate nauli nikimbilie kwa sisteri ambaye yuko huko Dar Es Salaam ili na mimi nikainjoi mechi kwenye kiwanja cha Mkapa (kuoshaosha macho).
Hivi kweli mzazi unamfukuza mwanao nyumbani je unataka akafie huko huko kwa njaa? Kiukweli nimeumia na nimejua hizi ni siku za mwisho upendo wa wengi umepoa.
Mimi ni mhitimu wa kozi ya Uhasibu. Nasubiri kazi ya Serikali nikunje hata 1M, kuhusu CPA nitasoma nikitulia. Kwasasa nina mawazo nashindwa hata kula.
Sasa trading si ndio unajimaliza kabisa. Maana baadae utakua unaliwa pesa utaanza msongo wa mawazo mwisho uanze ulevi uhamie kwenye udokozi.Na ndio maana na trade kwa forex. Wao wanaona nalala wakati napambana na wave kila siku natafuta entry