Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

Bora wewe mimi ouweka dreads nikafukuzwa home ety nishakua
 
Mzazi asikubanie ni haki yako kukaa nyumbani kwenu kama vipi kamshtaki, au utakuwa unasarandia beki tatu ndio maana wamekuchoka?
 
Heading tu nimecheka nikajua unataka wa kweli waje waongee utumbo wao humu wa kutegemea wazazi
Unajua kuna watu wanaomba wazazi wafe ili warithi?
Wachawi wengi kwa kweli
Ila nitakuwa wa mwisho kuamini hii
Ila wapo tena wengi wana maisha haya
 
Usiondoke kabisa, mpaka mambo yako yanyooke.

Au hao walikuokota tu, siyo wazazi wako? Bado kijana mdogo kabisa, miaka 27 tu, wanataka kukufukuza, siamini nnachokisoma.
 
Nina dawa ya kuizondoa na zisiote kamwe dozi 100,000 utatumia dozi 2 kwa miezi 4
 
Na ndio maana na trade kwa forex. Wao wanaona nalala wakati napambana na wave kila siku natafuta entry
Sasa trading si ndio unajimaliza kabisa. Maana baadae utakua unaliwa pesa utaanza msongo wa mawazo mwisho uanze ulevi uhamie kwenye udokozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…