Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Unaweza marketing na idea mbili nanipo serious ya kwanza unaweza kuuza magari.Samahani Unique Flower niko desperate kwenye mtaji wa Forex. Ukinisaidia hiyo idea nitashukuru. Uliwahi tu ku"quote" ile reply yangu ya mwanzo lakini nimebadilisha
Basi inaonekana we msumbufu sana hata chuo umemaliza kwa vita una GPA gani?Kiukweli bangi sivuti ila zamani nilikuwa nacheza kamari japo kwa sasa nimeachana nazo baada ya mzee kutishia kuniweka ndani. Nimepitia mengi sana aisee
Ulishawaomba mtaji na kuwaeleza uhitaji wako kama mtoto wao wakakunyima?Unapotolewa uende ukapange ni kukuboost kweli. Si wanipe angalau mtaji nijisogeze
Hapo sawa, sasa acha ubishow uje nikupe kijiwe cha zege utakua unatembea na fundi ko kazi kila siku uhakika.GPA niliitusu si mchezo. Sheria ilikuwa ni kuingia kwa CA ya 30+ kwa hiyo nilinyooka vizuri sema tu ajira ndo mtiti
Basi ukitokea kwa Dada ako nistue nikupe chimbo, anza kujichochea na milishe ya kijijini kwenu.Mishangazi ni blessings hizo. Bro maisha yamebadilika
Hii ndio sababu kuu ya kufukuzwa ukajitegemee usiniulize kwanini yaan unawatomba kwa Ugali wa Mama una akili wewe? Unashiba unavusha unatomba kazi hufanyi unategemea Ugali wa Mama? Mbwembwe nyingi mtandaoni na unaishi kwa Mama?Nina miaka 27 na mara chache chache navusha demu zangu kwenye geto la nje nililopewa.
Kubwa sana utaolewaKwani kuna shida?
Kwakweli aende tu kule atapata visanga vya wengineo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3]kapitie uzi wa ulianzaje kukaa ghetto uwe motivated utoke nyumbani
Marketing au udalali? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unajua marketing nikupe akili yakuwa na hela umiliki gari ?? Utoke hapo
Marketing ni udalali uliosomewa na kuhakikiwa kielimu.Marketing au udalali? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Roho mbaya tu, angekusomesha hiyo fani si angekurahisishia maisha na kutopoteza muda.Mimi nilitimuliwa home nikiwa na miaka 22 tu mzee kaniambia nioe au nikavue dagaa,niliondoka kweli na form four yangu ya 26 nikaingia mtaani nilianza kuchoma mawe na kupasua nauza nikawa nasukuma na mkokoteni kama mwaka mmoja hivi huku naishi kwa mama mdogo mwaka uliofuata nikaenda veta nikagonga miaka mitatu fani bomba nikakomaa mwenyewe kila kitu ndani ya miaka mitatu pale musoma na ule wa kupiga kazi ya mkokoteni ukawa mwaka wa 4,2016 nikamaliza mafunzo yangu nikakaa miaka 4 2020 ndo nikapata ajira leo hii mzee anapiga simu sana anaomba pesa nampa na mpaka sasa nasomesha mdogo wangu anachukua diploma ya civil engineering
Pengine wanataka ukajitegemee akili ifanye kazi
Umeshapata kazi ?Unajua marketing nikupe akili yakuwa na hela umiliki gari ?? Utoke hapo
Mie ni dalali wakujitegemeaUmeshapata kazi ?
Kumbe! Nina nyumba yangu naiuza Dodoma hapa nisaidie nipate wanunuziMie ni dalali wakujitegemea