Kwani lazima kuoana?


Mtu B, naamini mlikumbuka kutumia kinga😉.

Sasa bila huyo rafiki yako kujifunza si huyo 'shemeji' yako ataendelea kumegwa hovyo tu na mabazazi wengine? Jaribu kumwokoa rafiki yako kama bado unampenda maana kwa trend hiyo ya huyo mkewe, mtawazika muda si mrefu. Mashauri ajifunze kuhusu wanawake na namna ya kuwatendea 'chumbani' na 'sebuleni' huenda ikaokoa maisha yake.
 
huyu mke ni kahaba tu kwamba ya jamaa tamu alikuwaanajifanya ili jamaa amwone kama huyu mama ni mwaminifu, wanawake wengi wanaotoka nje ya ndoa zao wanawasingizia waume zao hawazi kazi.
 
Mtu B,

Hivi kesho yake ulipoonana na rafiki yako ulimudu kumsalimia au ulifanyaje mkuu?
 
kwa kuwa hapa barazani panazuiwa maneno makali....lkn wewe jamaa/mtoto una matatizo sana...unatakiwa utubu na umtumikie Mungu. unachokifanya ni uzinzi uliochanganyikana na uchafu...very bad, umefanya vibaya sana.....hebu tunza heshima yako,zitunze sehemu zako za siri kubakia za siri....kwa taarifa yako unless uokoke huyo mwanamke atakufanya usioe na ukioa atavunja ndoa yako,au atakufanya ufe mapema kwa kuuawa physically au kwa kupewa kifurushi chenye marupurupu ya uzinzi.......mtu akichukuliwa mke na rafiki yake reaction huwa ni kubwa kulikko angechukuliwa na mtu asiyemjue.....angalia kipindi cha CHEATERS kutoka reality TV(channel e pia huwa wanaonyesha)
note:wanawake fedhuli kama huyo ni wachache sana na wanafanya ufedhuli na mafedhuli kama wewe ambao pia mko wachache....unajisikiaje kuwa miongoni mwa mafedhuli wachache?????
shame on u 1000X!!
 
...Reading between the lines;

Nina umri miaka 28, sijaoa. Rafiki zangu kadhaa wameoa, mmoja katimiza mwaka last month...

...Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe.
...Mimi niliwahi kumegewa mai waifu na rafiki yangu

...ila uwezi amini mshikaji mpaka leo ni best yangu sana....

...ama kweli wikiendi imeanza, mmekunywa nini nyie au ndio vunja jungu?
 
Kwani we Libidozy ni Mungu? Acha kabisa maneno hayo huna mamlaka ya kuhukumu ni Mungu peke yake. Yaani mwenzio ameangukiwa na kipande cha mti sasa halafu wewe ndio unamwangushia gogo zima. Tumpe ushauri mzuri jamaa yetu.
Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.

Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
Hivi akili za wanawake zikoje? Yaani mke naye anakubali kuisaliti ndoa yake hivi hivi? Nionavyo mimi mke ndio mwenye makosa makubwa kwa kukubali kula ndizi isiyo yake. We unajua kabisa kuwa sumaku inavuta vyuma, wewe mke ukiwa kama chuma halafu unasogea karibu na sumaku hivi unafikiri sumaku inachagua vyuma vya kuvuta.

Jamaa mwenye hii thread pamoja na huyo mke wa rafiki wamwombe Mungu awasamehe kosa hilo na Mungu atawasamehe halafu wasirudie tena.
 
Kuna uwiano maalum hapa?
 

Baada ya kusoma, nimeangalia tena title na kuhitimisha kwamba hii ni hadithi ya kutungwa.
 
Huna haya wewe, wala huoni vibaya! Hadi kulala na mke wa rafiki yako ulikosa msichana? Kweli wewe ni mnafiki kwa rafiki yako.

jamaa hana kosa, demu kajilengesha, sasa afanyaje?. mega tu ala.

Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...

hakuna kufungiwa, hili ni somo tosha kwa wote humu, wake kwa waume, coz wengine wanasema tu 'ya kutunga' lakini ishu ziko mtaani kiukweli.

Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.
Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee
punguza munkari, demu kajipeleka mwenyewe, kata funua tu!
This woman is MAD!how could she be this much wicked?
sema shem,
mademu ndo walivyo, wengi wanashoboka hata ningekua mimi silazi damu hapo!, najiexpress tu
 


Mtu B afadhali umeamua usioe!! Kama kweli hutuzugi?? Wa kwako atafanyiwa hivyo hivyo, tena huenda group seeeeeeex, departments zote!! Huna aibu kweli kuzini na mke wa rafiki yako. Mnafiki sana wewe, hufai katika jamii. Ni kwa vile sikufahamu,, ukiwa na tabia kama hizo huwezi kukatiza mbele ya ya watoto wangu, hata kama wameshaoa/olewa maana huna haiba/sifa. You are very low!!!
 
Malaya mkubwa wee tena asiye na haya.

Eti mke amekuwa akikuzoezoe kumbe ulikuwa unamtongoza, nyooo, fedhuli wee

Jamani punguzeni maneno makali, nyooo kwa kisukuma ni neno kali sana, labda tuseme kama vile kutaja sehemu inayoitwa matombo, sjui ni singida au morogoro, skumbuki!
 
Duh aisee unamega wife wa jamaa ako dah ndo maana mimi kuoa sitaki kama wanawake ndo mlivyo unachanganya hadi rafiki yangu mmmmh!


eti luv mie nasemaje, kwanini mtu avunje uhusiano mzuri alionao na frnd wake kwa kisa kama hiki? alikosa mwanamke wa kufanya nae hayo mpaka ashikwe tamaa na wa frnd wake, halafu anajitetea mke ndio alimshawishi....kwanini ushawishike kihivyo, aache uongo wake hapa hata yeye alikuwa anamtamani huyo wife wa mwenzie, tafuta wako.....hivi walifikiria labda wangekutwa hiyo sebene wangeichezaje? kuna watu wafinyu wa mawazo kweli....
 
nyamayao unajua hapa kuna mambo mengi yanachangia ila nadhani lawama zinafaa ziende pande zote mbili. Ingawa kiini cha yote hayo ni mwanamke kwa sababu yeye ndiye mwenye uwezo na kauli ya mwisho ya kusema YES au NO ili uovu huo utendeke. Kuna vitu vingi vinachangia but mimi ninaona hivi (na ninakubali kukosolewa!)

-1.Mwanamke unapokuwa na mwenzi wako hasa mbele ya marafikize tupunguze manjonjo jamani utamkuta mtu yuko na hawa shemejize na mpenziwe basi mara kaingiza ulimi sikioni mara kamtafuna ulimi yaani ili mradi atoe picha kuwa mpenzi wake anafaidi sana. Sasa hivi vinaweza kuwatia marafiki shetani wa wao pia kutamani kuenziwa kama vile japo mara moja (ingawa wanatakiwa kujizuia) ndiposa mtu anaanza kumtongoza mke/ demu wa rafikiye ili tu aonje pepo apowayo mwenzie.

-Pia tunapoonyesha sana manjonjo mbele ya hao mashemeji wengine hutafsiri kuwa unamkaribisha kiaina so anapata nguvu ya kukutokea.

2. Tujaribu kuweka distance kati yetu na mashemeji (na userious flani) hivi kwani shemeji akiona unamchekea chekea hata kama ni kwa nia njema basi yeye ashakuteremsha kivazi. Ukiwa na distance na userious flani ni wazi kuwa hata ile wazo la kufikiria kujaribu kukutongoza halitakuwepo.

Where are our manners? je wazazi wetu nao zama hizo walikuwa wakifanya haya? kama hapana ni kwa nini?
 


hiki kitendo huyu mtu alichokifanya kwa frnd wake ni kibaya kupitiliza, hakuna mwanaume hata awe aliozeshwa ndoa ya mkeka bila radhaa yake akakubali kuona mtu anaemwita mkewe anafanyiwa haya tena na frnd wake, ina pain sana, mfano wangekutwa jamaa angekuwa wa kwanza hata kupigwa mapanga baadae ndio wangemalizana na mkewe, coz kitendo alichofanya huyu kaka ni cha dharau kupitiliza kwa rafiki yake, mie naona mkaka hata kama alishawishiwa vipi angejizuia kufanya hayo yote, iwe icwe atakuwa na kadharau fulani kwa frnd wake pamoja na hayo maneno huyo wife aliyokuwa anamwambia ndio kabisaaaa, wanawake wengine bwana looo...
 
Mhh hii kali kaka tueleze vizuri kama hii ni story ya kweli bado nahisi kuna kitu unatuficha hujaweka bayana hii issue,nionavyo nahisi wewe na huyu mwanamke tayari mlishakua na mahusiano kabla,na sasa inaelekea unahisi karibu jamaa atashtukia kuwa unamsaliti ndo maana unaona uombe ushauri,na lingine nilionalo kwako kaka unajiendekeza na hiyo tabia yako mbaya,huo ujasiri kwa kufanya mapenzi na wake za watu unaupata wapi inaelekea umebobea kutembea na wake za watu mpaka umefikia mahali unaoa huwezi kuoa maana unahisi ukioa na wewe utafanyiwa hayo unayofanyia wake za watu,ACHA HIYO TABIA CHAFU.

Kwa huyo mwanamke nionavyo hiyo tabia ya kutokuwa mwaminifu anayo hata kabla hajaolewa ndo maana hata ameweza kuwa na relationship na wewe,haiingii akilini kuwa eti kwa sababu mume wake hamridhishi eti ndo maana anakwambia wewe umfundishe rafiki yako,huyo mwanamke naye ni KAHABA alishazoea hizo kazi.

Kaka jirekebishe,acha tabia za kuwa na mahusiano na wake za watu la sivyo yatakuja kukupata makubwa.
 
Najaribu kuona jinsi gani watu wasivyokuwa realistic. Mi iosni sababu kwa nini watu wasimpongeze huyu jamaa kwa kuwa mkweli. Watu wote waliochangia kwenye thread hii wakipata fursa ya kuweza kufanya km huyu jamaa alivyofanya, wanafanya, laknini ushangae michango yao ni tofauti kabisa na mawazo yao ya kila siku kichwani. MAN'S (BINADAMU) REAL CHARACTER IS WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE/SHE WOULD'NT BE FOUND! R u all contributors sure, under same conditions and circumstances, could not do the same? Tuwe wakweli, ndiyo maana taifa letu limeangamia kwa ufisadi, sababu tunachooongea ni opposite ya kile tunachofanya. Na kumbukeni there may be a better change in tanzania may be after 2000 years at least. Kwa hiyo mlioko live leo na mpaka wajukuu wa wajukuu zenu 2 the power or 23 (mathematicians only) bado hamtayaishi "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA". Hii nchi hatuendi sababu ya intentional destructive planning. Tunapanga ktu maksudi kilicholenga kutoa loop holes za uharibfu mkubwa hapo baadaye, provided planner atafaidika. Huyu jamaa aliyemega siyo tu kwamba vile mwanamke alikuwa anataka, hata yeye pia ilikuwa kichwani kwake, ila the way alivyoi-present hapa anataka tumwelewe kuwa eti kuwa yeye kabisaaaa hakuwa na nia hiyo, VERY STUPID! Tukubaliane ukweli kuwa WATU WOTE WANAMEGA/WANAMEGWA, WATAENDELEA KUMEGA/KUMEGWA. ukpata chance ya kumega/kumegwa km uko willing then do it, bcause that is the way life it is! Haya maneno mengne ni theory au siasa. If I'm wrong, naomba mtu ani-attack km ni mkweli halafu nitarudi!
 
Ni kweli kabisa kuna wengine wanazidisha mno manjonjo, wengine hata kwenye daladala utakuta abiria wamekaa kimya kwenye daladala wakisikiliza ama kuangalia manjonjo yao bila aibu utadhani wako nyumbani.
 
 
Reactions: Cyb
Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...


mmmmm yaani hata YoYo 😱ankuona huna tabia kabisa umevuka mipaka!!!!
 
<nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako> Humtakii mema huyu jamaa si atauwawa yaani akamwambie mshikaji samahani nilikumegea wife siku fulani loh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…