Watu wote waliochangia kwenye thread hii wakipata fursa ya kuweza kufanya km huyu jamaa alivyofanya, wanafanya, laknini ushangae michango yao ni tofauti kabisa na mawazo yao ya kila siku kichwani. MAN'S (BINADAMU) REAL CHARACTER IS WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE/SHE WOULD'NT BE FOUND! R u all contributors sure, under same conditions and circumstances, could not do the same? [/QOUTE]
Ndugu yangu hapa naona unaleta mambo ya samaki mmoja akioza ni wote. Ndugu wapo ambao wana maadili yao na wamelelewa na ambao life experiences zimewafunza vya kutosha they can resist these stupid temptations. Not all human beings have rotten minds kaka/dada.
Tunapanga ktu maksudi kilicholenga kutoa loop holes za uharibfu mkubwa hapo baadaye, provided planner atafaidika. Huyu jamaa aliyemega siyo tu kwamba vile mwanamke alikuwa anataka, hata yeye pia ilikuwa kichwani kwake, ila the way alivyoi-present hapa anataka tumwelewe kuwa eti kuwa yeye kabisaaaa hakuwa na nia hiyo, VERY STUPID!
Nakubaliana na wewe hapa kwa huyu mleta mada.
Tukubaliane ukweli kuwa WATU WOTE WANAMEGA/WANAMEGWA, WATAENDELEA KUMEGA/KUMEGWA. ukpata chance ya kumega/kumegwa km uko willing then do it, bcause that is the way life it is! Haya maneno mengne ni theory au siasa. If I'm wrong, naomba mtu ani-attack km ni mkweli halafu nitarudi!
Sasa Makanyaga mbona unajikontradikiti wewe mwenyewe unasema watu wote wanamegwa/mega then unasema mambo ya kuwa willing unataka kusema hakuna wale wasio willing?