Kwani lazima kuoana?

Kwani lazima kuoana?

Bwana Yesu amesema'kila afanyae dhambi huku anacheka ajue ataingia motoni huku analia'.Tubu sasa hivi na nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako

Mkuu nadhani sio kweli kuwa Ukristo unafundisha toba ya malipizo kwa kila jambo, kwa hili sio sahihi huyu Mzinzi kwenda kutubu kwa mume wa aliye zini naye, wala mke kutubu kwa kumwambia kumwambia Mumewe habari za mtu aliye zini naye, Watubu kwa Mungu wao aliye hai anayeona hata yasirini. YESU wetu tunayemwamini ni YESU wa Amani na wa Kutumia Busara na hekima Kama alivyotuagiza kupitia kwa Mtume wake Paulo.
 
huyu jamaa kama ni kweli sio mtu wa kuwa nae karibu, ila kama nikijua rafiki yangu ananisaliti ni kuoa dadake/mamake tu ili heshima irudi
 
Mods pls mnaweza kumfungia huyu member....hii tabia ni mbaya na wa kulaaniwa kwa jamii nzima...

hahaha...Yo Yo kaniacha hoi. JF imekuwa chombo cha kudumisha tabia njema katika jamii toka lini?

Nimesikitika sana kuwa wengi wameniponda sana kuhusu hiki kisa. Lakini ninaamini wanaume wengine wanaelewa ugumu wa kumkatalia mwanamke aliyedhamiria, tena halafu ni mzuri. Kwa kweli kabla ya kuniingiza kingi siku hiyo, alikuwa amefanya bidii muda mrefu, natamani bidii hizohizo angefanyiwa mmoja wa nyie wanaume mnaoniponda humu, halafu ajitokeze mmoja ambaye ati angekataa halafu akamweleze mumewe. Wengi najua wangemega halafu wafunge midomo kimya. Hata miye mumewe sijamwambia na sitomwambia kamwe, napenda amani. Nimeisema hii kitu hapa kuonesha jinsi ilivyoniongezea hofu ya kutokuoa, hasa ukizingatia jinsi huyo shemeji yangu anavyoonekana kwa nje kama mtu mtaratibu wa maadili mema!

Na wewe ndugu unayetaka nikamshauri rafiki yangu namna ya kumtendea mkewe chumbani, unanitakia mema kweli? Unataka anieleweje? Ataniuliza nimejuaje kuwa hamtendei hivyo, nitamjibu nini?

Wewe kama RAFIKI ulitakiwa kukimbia na kumweleza RAFIKI yako kinachoendelea. Wewe hapo huwezi kusingizia mwanamke. Mbona unakuwa kama Eve baada ya kula lile tunda na kumsingizia nyoka?!! You have to own up to your mistake.
Na kama RAFIKI yake ulitakiwa umpe tahadhari juu ya huyo mke wake. Hata kama angekuchukia, ungetakiwa kumueleza. Usitudanganye hapa...wewe sio rafiki, bali shetani wake. Wewe unaona simba anakuja, unamkenulia badala ya kukimbia. Kweli mtu wa ajabu kabisa wewe. Sasa inabidi uende kumwomba msamaha. duh! hapo sasa patakuwa patamu.
 
Da kama ndo mshikaji wako wa karibu unamfanyia hivyo hauna haja ya kuogopa kuoa maana ni dhahiri mkeo lazima atakuja kuliwa na huyu rafiki yako naye pia atamuomba akufundishe wewe.
Hapa na maanisha huenda we hauna lolote la kumzidi rafiki sema tu ndo vile hata kama mtu akila nyama kila siku basi cku akipewa mchicha ataukubali kuliko nyama.
Nadhani umenielewa, achana na hiyo tabia aheri ukanunue!
 
Hujaoa kwa sababu ni MUASHERATI na huenda dhamira yako inakusuta kwa kuwa unaogopa ukioa mkeo atakuwa anamegwa na marafiki zako!
 
Hivi karibuni nilivyoona amezidi nikaona nikidhi haja yake, katika sehemu na muda aliopanga mwenyewe. Nilishangaa sana! Baada ya kitendo kile akawa ananiuliza "wewe unafanyaje inakuwa tamu hivi jamani! Mfundishe basi rafiki yako, unajua mimi sipendi tabia tuliyofanya lakini basi tu!"

Nilichoshangaa ni kuwa, hii ni akili ya vipi? Yaani anadhani naweza kumfundisha mumewe hiko kitu! Na cha ajabu basi, mimi si kwamba ni mjuzi sana wa hiyo habari.
wewe ni fisadi mkubwa wala hufai katika jamii
 
Angalia sana ukiendeleza hilo libeneke watakumega wenzio,shauri yako oohh!
 
Najaribu kuona jinsi gani watu wasivyokuwa realistic. Mi iosni sababu kwa nini watu wasimpongeze huyu jamaa kwa kuwa mkweli. [/QOUTE]

Hebu kwanza taratibu Makanyaga ndugu yangu, mbona umeandika kwa hasira utadhani umekorofishwa na Mgongoo!! (Joke) HAPANA mimi ninakupinga katika kumpongeza huyu mleta mada. Kufanya hivyo ni kama kumpongeza fisadi wa pesa ya EPA aliyekiri kuwa ni kweli kazisunda wakati alikuwa anajua kuwa kufanya hivyo ni kosa. Hapa kinachoangaliwa ni kosa la kummega mke wa rafikiye yeye ni mtu mzima na anautashi wa kujua baya na zuri alijua fika yule ni mke wa rafikiye kwa nini hakuzuia?

Ingawaje mimi sijamsema yeye but hata yeye anayo makosa na hastahili kupongezwa!.

Watu wote waliochangia kwenye thread hii wakipata fursa ya kuweza kufanya km huyu jamaa alivyofanya, wanafanya, laknini ushangae michango yao ni tofauti kabisa na mawazo yao ya kila siku kichwani. MAN'S (BINADAMU) REAL CHARACTER IS WHAT HE WOULD DO IF HE KNEW HE/SHE WOULD'NT BE FOUND! R u all contributors sure, under same conditions and circumstances, could not do the same? [/QOUTE]

Ndugu yangu hapa naona unaleta mambo ya samaki mmoja akioza ni wote. Ndugu wapo ambao wana maadili yao na wamelelewa na ambao life experiences zimewafunza vya kutosha they can resist these stupid temptations. Not all human beings have rotten minds kaka/dada.

Nakubaliana na wewe hapa kwa huyu mleta mada.

Sasa Makanyaga mbona unajikontradikiti wewe mwenyewe unasema watu wote wanamegwa/mega then unasema mambo ya kuwa willing unataka kusema hakuna wale wasio willing?

Mwanajamii One;
Hicho unachoongea nadhani kila mmoja huwa anakisikia, na karibia watu wote huwa tunaaswa tukifuate. Doubt yangu ni kuwa sidhani km kuna mtu anafuata exactly. Theory ya maneno mazuri sana na inayomuasa binadamu kutenda mema sana, practical yake huwa ni ngumu sana, halafu the vice versa is true. "You do not be you if you can not really say what is exactly in your mind, especially kwenye forum km hii ambayo watu hata hatufahamiani. Afadhali umung'unye mung'unye kwenye jukwaa la siasa ubungo au kanisani ambapo watu wanakuona live. Hapa kwenye forum mtu anakuwa pia hypocrite, why? Hapa inabidi tuelezane ukweli mtupu, tuseme feelings zetu kama zilivyo ndani ya mioyo yetu, na si vingnevyo, otherwise kwa tabia na mawazo haya ya kusema hili halafu unafanya lile, tofauti na ulivyosema I still believe I AM STANDING A VERY GOOD CHANCE OF BECOMING A VERY GOOD PROPHET FOR THE DESTINY OF OUR BELOVED COUNTRY. Tunahitaji input ya mawazo zaidi kuliko ya mali. Na mawazo mazuri tutayapata tu pale ambapo tutakuwa tunasema na kufanya kile ambacho tumesema, japo chaweza kuwa kibaya, na si kukanusha kile tunachofikiria halafu ndiyo kumbe tunapenda kukifanya hicho, mawazo mabaya sana haya!
 
Watu mmendika mengi, mara nikatubu, mara nikaombe msamaha nk. Nakiri kweli nimekosea, lakini nashangaa watu mnaniandama kama vile ati mie ni mkosa peke yangu! Hakuna anayetaka kufikiria japo kidogo tu mazingira ya kosa lenyewe! Huku ni kuhukumiana kusiko na tija.

Nimewaambia nina maelewano mazuri sana na huyo jamaa yangu na mkewe. Siwezi hata kidogo kupeleka taarifa kama hiyo kwa mumewe, kwanza sijui hata nitakavyoanza kuzungumzia hiyo kitu. Huyu mama hadi sasa ndiye anayewezesha kukutana kwetu, na kila kitu anahakikisha mwenyewe kuwa usiri upo. Nikimsema nitakuwa namfanyia usaliti mbaya sana, naomba mumfikirie pia yeye na ndoa yake. Hajawahi kusema ati hampendi mumewe. Na ninajaribu kufikiria kumwambia ghafla kuwa tangu leo tuache, huenda akaanza tena kubadilika na kuanza kunifanyia zile mambo zake za mwanzo za kunishawishi, ambayo nina wasiwasi mumewe hapo ndipo atashtukia na shida itakuwa kubwa.

Baada ya kutafakari yote mliyoandika, naona kuwa nitulie naye hivi tu na hali iliyopo bila kuchokoza kwa mwenzie, naamini ipo siku hii hali 'itachuja' tu yenyewe na yataisha bila kumharibia mtu maisha yake. Najua kuna siku mwenyewe tu atachoka, kwanza gharama za usiri ni kubwa sana, najua zitamchosha tu ataamua mwenyewe kujitoa na hii kitu itakuwa imeishia hapo. Sitamsema kwa mwenzie, siwezi.

Lakini bado naogopa kuoa.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Watu mmendika mengi, mara nikatubu, mara nikaombe msamaha nk. Nakiri kweli nimekosea, lakini nashangaa watu mnaniandama kama vile ati mie ni mkosa peke yangu!

...umeandamwa kwa huo msalaba uliojitwisha japo umekuelemea.

Hakuna anayetaka kufikiria japo kidogo tu mazingira ya kosa lenyewe! Huku ni kuhukumiana kusiko na tija.

Nimewaambia nina maelewano mazuri sana na huyo jamaa yangu na mkewe.

...isipokuwa UAMINIFU tu umekushinda kwao.

Siwezi hata kidogo kupeleka taarifa kama hiyo kwa mumewe, kwanza sijui hata nitakavyoanza kuzungumzia hiyo kitu. Huyu mama hadi sasa ndiye anayewezesha kukutana kwetu, na kila kitu anahakikisha mwenyewe kuwa usiri upo. Nikimsema nitakuwa namfanyia usaliti mbaya sana, naomba mumfikirie pia yeye na ndoa yake. Hajawahi kusema ati hampendi mumewe. Na ninajaribu kufikiria kumwambia ghafla kuwa tangu leo tuache, huenda akaanza tena kubadilika na kuanza kunifanyia zile mambo zake za mwanzo za kunishawishi, ambayo nina wasiwasi mumewe hapo ndipo atashtukia na shida itakuwa kubwa.

Baada ya kutafakari yote mliyoandika, naona kuwa nitulie naye hivi tu na hali iliyopo bila kuchokoza kwa mwenzie, naamini ipo siku hii hali 'itachuja' tu yenyewe na yataisha bila kumharibia mtu maisha yake.

sio mshumaa huo kaka useme utaisha wenyewe. Mwisho wake mbaya!

Najua kuna siku mwenyewe tu atachoka, kwanza gharama za usiri ni kubwa sana, najua zitamchosha tu ataamua mwenyewe kujitoa na hii kitu itakuwa imeishia hapo. Sitamsema kwa mwenzie, siwezi.

Lakini bado naogopa kuoa.

unajipa moyo tu kaka lakini dhahiri inaonyesha 'umesaswa' kwa udhaifu wako. Unatia huruma bro.

...hakuna siri ya watu wawili kaka. Halafu, jiandae siku utayokuja gundua huyo mama kumbe ana 'msukule' mwingine anayemtumia kimahaba, kama anavyokutumia wewe.

Utamfikiriaje? ('siri yake' uliokuwa huijui!)
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Watu mmendika mengi, mara nikatubu, mara nikaombe msamaha nk. Nakiri kweli nimekosea, lakini nashangaa watu mnaniandama kama vile ati mie ni mkosa peke yangu! Hakuna anayetaka kufikiria japo kidogo tu mazingira ya kosa lenyewe! Huku ni kuhukumiana kusiko na tija.

Nimewaambia nina maelewano mazuri sana na huyo jamaa yangu na mkewe. Siwezi hata kidogo kupeleka taarifa kama hiyo kwa mumewe, kwanza sijui hata nitakavyoanza kuzungumzia hiyo kitu. Huyu mama hadi sasa ndiye anayewezesha kukutana kwetu, na kila kitu anahakikisha mwenyewe kuwa usiri upo. Nikimsema nitakuwa namfanyia usaliti mbaya sana, naomba mumfikirie pia yeye na ndoa yake. Hajawahi kusema ati hampendi mumewe. Na ninajaribu kufikiria kumwambia ghafla kuwa tangu leo tuache, huenda akaanza tena kubadilika na kuanza kunifanyia zile mambo zake za mwanzo za kunishawishi, ambayo nina wasiwasi mumewe hapo ndipo atashtukia na shida itakuwa kubwa.

Baada ya kutafakari yote mliyoandika, naona kuwa nitulie naye hivi tu na hali iliyopo bila kuchokoza kwa mwenzie, naamini ipo siku hii hali 'itachuja' tu yenyewe na yataisha bila kumharibia mtu maisha yake. Najua kuna siku mwenyewe tu atachoka, kwanza gharama za usiri ni kubwa sana, najua zitamchosha tu ataamua mwenyewe kujitoa na hii kitu itakuwa imeishia hapo. Sitamsema kwa mwenzie, siwezi.

Lakini bado naogopa kuoa.

Kwenye maelezo yako, unavunga kuonyesha km wewe ulikuwa hutaki, ila katika hali halisi inaonyesha ulikuwa na nia tena kubwa ya kutembea na mke wa rafiki yako, na nadhani mpaka ukawa proud of the act kiasi hadi ukaja kui-post issue nzima hapa kwenye forum, othewise ktu kimekusikitisha wala usingependa kuendelea kukijadili kama hivi. Mimi advocacy yangu ni kwamba nawaomba sana watanzania wenzangu tuendelee kuwa na mawazo jengefu (creative) na zaidi tuwe na tabia ya kusema na kutenda kama tunavyosema, na si otherwise! Wewe unachosema ni tofauti na unachokijua rohoni kwako, na hivyo ur likely a person who says 1 and does 2!
 
wote wajinga. how could you? stupid, ****** etc, etc.na bora usioe because it will come around you. stuuuupid
 
Kwenye maelezo yako, unavunga kuonyesha km wewe ulikuwa hutaki, ila katika hali halisi inaonyesha ulikuwa na nia tena kubwa ya kutembea na mke wa rafiki yako, na nadhani mpaka ukawa proud of the act kiasi hadi ukaja kui-post issue nzima hapa kwenye forum, othewise ktu kimekusikitisha wala usingependa kuendelea kukijadili kama hivi. Mimi advocacy yangu ni kwamba nawaomba sana watanzania wenzangu tuendelee kuwa na mawazo jengefu (creative) na zaidi tuwe na tabia ya kusema na kutenda kama tunavyosema, na si otherwise! Wewe unachosema ni tofauti na unachokijua rohoni kwako, na hivyo ur likely a person who says 1 and does 2!

Hebu nisaidie basi ushauri unaojenga bila kunishutumu sana, maana kama na mimi ningekuwa sitaki kutatua hilo tatizo ningekaa tu kimya niendelee kumega. Nimechagua kuisemea hapa hiyo kitu maana siwezi semea pengine, wote mnaelewa sababu. Kwa hiyo unanishauri nini? Kilichotokea ndicho hicho nilichosema, na wasiwasi wangu ndio kama nilivyokwisha sema kwenye post ingine. Nifanyeje hii kitu imalizike bila madhara kwake wala kwangu?
 
...swadakta, Now you are talking!

acha mara moja kumega mke wa rafiki yako! usidhani jamaa hajui lolote. Ipo siku atakukamata na kukumwagia ushahidi wote (aliokuwa anaukusanya)

madhara ni mengi ikiwemo magonjwa, kufumaniwa na fedheha zake, na kisasi utacholipiziwa (for the rest of your life) na huyo ndugu. Acha ndugu yangu, acha!

Usijali yeye atapatwa na madhara yepi mkiachana, kila mtu ni dereva wa akili yake. 'Mzigo' ulojitwisha ushakuzidi busara, umri, kimo na uzito, ...utue kabla hujaangamia nao!
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kaa naye chini umueleze halahalisi kuwa kitu mnacho mfanyia jamaa siyo kizuri na siyo cha kiungwana hivyo basi ni vizuri mka acha mara moja hata kama atakuwa hayupo tayari ni vizuri ukafanya vyovyote vile uachane naye kimapenzi ubaki kuwa rafiki tu wa jamaa yako.
Kama vile tafuta dem wako then mwambie we tayari upo na mtu wako na hautaki akushtukie kuwa siyo mwaminifu kwake! Inaweza saidia kama atakuwa mbishi ka dagaa wa kigoma.
 
...swadakta, Now you are talking!

acha mara moja kumega mke wa rafiki yako! usidhani jamaa hajui lolote. Ipo siku atakukamata na kukumwagia ushahidi wote (aliokuwa anaukusanya)

madhara ni mengi ikiwemo magonjwa, kufumaniwa na fedheha zake, na kisasi utacholipiziwa (for the rest of your life) na huyo ndugu. Acha ndugu yangu, acha!

Usijali yeye atapatwa na madhara yepi mkiachana, kila mtu ni dereva wa akili yake. 'Mzigo' ulojitwisha ushakuzidi busara, umri, kimo na uzito, ...utue kabla hujaangamia nao!

Nashukuru kwa ushauri. Nimeanza kuchukua hatua za kujitenga naye. Asante kwa wote waliotoa ushauri wa kujenga bila shutuma.
 
Jiandae kwenda motoni shetani mkubwa we!Bwana Yesu amesema'kila afanyae dhambi huku anacheka ajue ataingia motoni huku analia'.Yaani jitu kubwa zima hata haya huna,eti unamnanii shemeji yako wewe hata kuachiwa dada zako itakuwa taabu.Tubu sasa hivi na nenda kamwombe radhi huyo rafiki yako la sivyo tarajia mabaya zaidi juu yako,mwasherati wee mwanahizaya wee.

This is what i call OVER-REACTING.
Wewe badala ya kumsaidia unamhukumu moja kwa moja. That is not the way. Alafu hujui jamaa yeye anaamini nini unaanza kumpa quotes.
Pse take it easy...taratibu.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Back
Top Bottom