Wengi tu wanafanya, umesomea wapi kuwasha taa ni alert ya kuovateki? Ndio nyie mnawasha taa halafu mnaingia tu as if taa zako ndio breki zangu.Aisee!
Ila hata wenye magari yao wanatuwashia sana tu, i thought ile kuwasha ni kumpa mtu alert tu kuwa i'm going to overtake you..
Teh dah!Wengi tu wanafanya, umesomea wapi kuwasha taa ni alert ya kuovateki? Ndio nyie mnawasha taa halafu mnaingia tu as if taa zako ndio breki zangu.
Ndio maana wenye malori wanawaingizaga mkenge kwa kuwashawasha taa na papara. Ukiwsha taa hovyo mtu anaona una m-harass. Old school ni bora.Teh dah!
Wengi wanafanya, anawasha indicator kuonyesha kutaka ku-overtake then anaflash taa halafu huyoooo, wenye miprado na ndugu zake huwa wanafanya sana hivyo. Mimi old school naendesha kufuata sheria mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12][emoji12][emoji12]Wengi tu wanafanya, umesomea wapi kuwasha taa ni alert ya kuovateki? Ndio nyie mnawasha taa halafu mnaingia tu as if taa zako ndio breki zangu.
Mtu huna upcountry trip sana unaanzaje kununua above 3000cc cars!?.. Nunua hata IST ikubebe mjini hapa lower fuel, less service, longer comfortability.
Siwatetei wenye Passo (kagari kabaya kale bora hata probox).
Sababu gari zinaruhusu fujo mjini!..Msitutoe kwenye lengo jamani,mada ni kwanini mna fujo??
Acha fujo barabarani, kila mtu ana haki ya kuovateki. Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofautiKuna baadhi ya nyuzi JF inakubidi usome tu kisha kila kitu ukiacha hapohapo, does it make no sense kwa kuwa ww una crown basi mwenye vitz hana haki ya kuku overtake ilihali uko slow, basi nyinyi wenye hizo prestigeous cars ombeni barabara zenu mnazoendesha mwendo wa harusi.Haki najivunia kumiliki IST yangu bora kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna baadhi ya nyuzi JF inakubidi usome tu kisha kila kitu ukiacha hapohapo, does it make no sense kwa kuwa ww una crown basi mwenye vitz hana haki ya kuku overtake ilihali uko slow, basi nyinyi wenye hizo prestigeous cars ombeni barabara zenu mnazoendesha mwendo wa harusi.Haki najivunia kumiliki IST yangu bora kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msitutoe kwenye lengo jamani,mada ni kwanini mna fujo??
Sababu gari zinaruhusu fujo mjini!..
Hivi unaendeaha gari haionyeshi engine rotation, haina temperature gauge, ina speedomwtwe na fuel gauge tu basi. Kama pikipiki ya kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana wenye malori wanawaingizaga mkenge kwa kuwashawasha taa na papara. Ukiwsha taa hovyo mtu anaona una m-harass. Old school ni bora.
sijaona cresta apo mkuuWaendeshaji wa magari kama premio,carina,corrolla,spacio na allion hawana league na mtu barabarani sisi sikuzote tunapenda tufike safari zetu salama lakini wenye I.s.t na passo ni mapepe barabarani na wengi wao ni wageni wa magari na bado hawajui kuendesha vizuri magar yao
Asante kwa kunikumbushasijaona cresta apo mkuu